Who would you like to meet and why?

Hakika GT na MMK bila ya kuwakosa FMES na NN sababu.....................ni wanachama wazuri wa JF na ni mfano wa kuigwa hasa kwenye masuala yenye manufaa ya Kitaifa na masikilizano yenye misingi ya kuendeleza jamii. Mwisho kabisa nitafurahi sana kukutana na Mama, Mtaalamu na bila ya kumsahau Rev Kishoka na jmushi.
 
Unfortunately mimi sichagui mwanachama mmoja au kikundi cha wanacahama. Binafsi, ningepenada nikutane wanachama wa JF wote kwani wamenifundisha mambo mengi sana katika nyanja mbalimbali za sayansi, teknolojia, sheria, siasa na jamii, biashara, utamaduni, uchumi, elimu, burudani, udaku, mambo ya kikubwa na mengineyo mengi. Ingawa katika uwanja wa siasa na jamii ninaweza kuwa nimetofautiana kimtazamo na baadhi ya wanachama, imekuwa inanisaidia sana kupanua mtizamo wangu katika mambo hayo tunayotofautiana.

Kitu ambacho sina uhakika ni kama Nyania atapata ukumbi wa kutosha kutukutanisha wote.
 
Tutakutana kwenye park maana tukisema ukumbi hautatosha. Tunahitaji open space, sio enclosed space. Kutakuwa na babikyuu (mbuzi, kuku, ngombe, etc.), ulabu wa kila aina kuanzia kavwasiye (for all you numbskulls, that's courvoisier, the French cognac) hadi pombe za kienyeji kama wanzuki, kimpumu, gongo (YNIM's favorite...lol), wanzuki, mataputapu, chibuku, kangala, na mazagazaga mengine.
 
Kwa bahati mbaya hili swali limekuja tofauti na yaliyomo kichwani mwangu; natamani kama lingeulizwa "Who would you NOT like to meet and why?" ...Guess I will have to wait another day for that.
 
Kwa bahati mbaya hili swali limekuja tofauti na yaliyomo kichwani mwangu; natamani kama lingeulizwa "Who would you NOT like to meet and why?" ...Guess I will have to wait another day for that.

LOL! Yebo Yebo please don't go there ;) People will run away from JF
 
There would be a whole lotta swagger there.....hahahahahaaaa....

Kama ulikuwepo vile...maana najua hapa nyie waungwana watatu hakitoharibika kitu alafu nikitoka hapo nakwenda kwa Mzee Sauti ya Umeme nakula dataz za yanayojiri ndani ya serikali ya bongo siku inaisha.
 
Mkuu wangu Nyani, labda nikutane na mzee wa ponjoro, maana mpaka leo bado huwa ninakukumbuka jinsi alivyokuwa akimkoma nyani na yule ponjoro kule BCS, Bwa! ha! ha! ha! that is worup!
 
I would definetly love to meet Augustine Moshi and Mzee Mwanakijiji!
 
...Hii mada ni ya kuwapotezea watu muda....bahati Mbaya imewekwa J3..i was thinking kama week end imeshaingia au La...

--Mleta mada anajua kwanini kaleta huku ktk siasa huku akiomba Mods waweke wanapoona inafaa...Hii haina tofauti na zile thread za kupongezana kufikisha xx000 posts...

---So far kunaweza kukatokea AIBU tukikutana maana baadhi ya watu wana ID zaid ya Moja....Ukiuliza kwanini..baadhi ya ID ni za kutukana watu na zingine zi kujifanya Muungwana!!!! Brothers we need to grow!!! If you want to meet with Live people just find another social networking web
 
Mkuu wangu Nyani, labda nikutane na mzee wa ponjoro, maana mpaka leo bado huwa ninakukumbuka jinsi alivyokuwa akimkoma nyani na yule ponjoro kule BCS, Bwa! ha! ha! ha! that is worup!

Yeah man...BCS was worup na mdosi alipata kibano cha nguvu
 
Nadhani itapendeza sana GT akikutana ana kwa ana na Mzee Mwanakijiji!!! Binafsi ningependa kuonana na members wote....wengine nahisia tu....huenda NN ni jamaa mfupi sana, maana huwa hakubali kuonewa si mnajua trait za watu wafupi? hahahahaha
 
Ahaaaa! kumbe huwa naonewa eeeh? Sasa nikilalamikaga kuwa naonewa mnasema napenda kulalamika....shukrani kwa angalau kukiri kuwa huwa naonewa.
 
Hivi Invisible haonekani eh, basi the whole idea is worthless.:).
I feel that we are better off without knowing other faces in the forum. We are used to judging books from covers, are we?
Waweza kumwazia Pundit ana uwalaza kama wa BWM, but it ould be the guy ana bonge la afro.
I WILL LIKE TO MEET ALMOST EVERBODY IN JF.
 
Ningefurahi kumuona GT na akawepo Mwanakijiji,pia Sauti ya Umeme FMES,Nyani Ngabu na Kibunango lakini nitamuomba Nyani Ngabu asimlazimishe Kibunango kuongea kiingereza,na mwisho ningefurahi kumuona Invisible mwenyewe!
 
Ningefurahi kumuona GT na akawepo Mwanakijiji,pia Sauti ya Umeme FMES,Nyani Ngabu na Kibunago lakini nitamuomba Nyani Ngabu asimlazimishe Kibunago kuongea kiingereza,na mwisho ningefurahi kumuona Invisible mwenyewe!

Nikikutana na Kibs mimi nitakuwa nashuka lugha tu asiponielewa shauri lake...lol.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom