Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Ah! ulikuwa wapi comrade? i missed your great contributions here!Siasa za Tanzania bana......Yaani ni kama Ze komedi flani hivi...
Haziishi kushangaza...
Ah! ulikuwa wapi comrade? i missed your great contributions here!Siasa za Tanzania bana......Yaani ni kama Ze komedi flani hivi...
Haziishi kushangaza...
mbeya mlisema shambwee shitambala hajahama jana mmeenda kununua watu ili wawe viongozi wa muda.subirini tu huku mwanza nako mtatoa majibu bila kupenda.
angalia apo nyuma umejiny..e...a.
Wenje ni mbunge, waziri kivuli na mkurugenzi nje! Malipo mara 3!
Siasa za Tanzania bana......Yaani ni kama Ze komedi flani hivi...
Haziishi kushangaza...aaah!! yaani ni kila siku ni mara 50 kule mara 20 huku,imekua kama tamthilia
Je alifanikiwa kuwarejesha wale waliodaiwa kunyakuliwa na Ngeleja?
Wenje Hana capacity ya kusambaratisha CCM huko Sengerema. Wenje ni mbunge ambaye uchaguzi wake ulikuwa ajali tu ya historia. Hakuna mtu mwenye akili anaetegemea Wenje kuchaguliwa tena.
jana walisema tanzania daima gazeti la cdm limeandika habari hii inaweza kuwa ya uongo leo
mtanzania limeandika;
wenje aibomoa ccm sengerema
wanachama 15 warudisha kadi za ccm ( linganisha 7 na 15 means twice)
watu 50 wajiunga na cdm ( haikuripotiwa kama kuna wanachama wapya walio jiunga na ccm)
Wenje Hana capacity ya kusambaratisha CCM huko Sengerema. Wenje ni mbunge ambaye uchaguzi wake ulikuwa ajali tu ya historia. Hakuna mtu mwenye akili anaetegemea Wenje kuchaguliwa tena.
Haujanielewa naona na(ukiendelkeza mahaba ya vyama) kamwe hutanielewa.....Usikurupuke
Bala.
Nzuri mkuu wangu......Hope uko pouwa sasa mkuu...Mkuu Balantnda habari za masiku tele .Naona kijana hakuelewi mkuu
katika wilaya ya geita jana viongozi pamoja na wanachama 50 wa chadema walirudisha kadi na kujiunga na ccm.kwa hiyo hadi sasa uongozi wa cdm ktk wilaya za geita,sengerema na mwanza mjini umesambaratishwa mbaya kabisa.