Wenje asambaratisha CCM Sengerema

Aliwahi kusema Mheshimiwa mmoja maarufu na Mfanyabiashara mkubwa kwamba "SIASA NI MCHEZO MCHAFU". Wenje kazi nzuri katika kukiimarisha chama chenu kanda ya ziwa.
 
hawa waandishi wengine bana uzushi tu harafu kinachonisikitisha watu wanadandia tu i wish mngekuwepo mkaona yaliyojiri hizo cheap politics hazitawasaidia kitu, huyo wenje mwenywe siku zake zinahesabika arudi kwao huko rorya akapambane na Lameck Airo tulimtumia kwa sababu maalum tu nyamagana.
 
Wenje Hana capacity ya kusambaratisha CCM huko Sengerema. Wenje ni mbunge ambaye uchaguzi wake ulikuwa ajali tu ya historia. Hakuna mtu mwenye akili anaetegemea Wenje kuchaguliwa tena.
 
Wenje Hana capacity ya kusambaratisha CCM huko Sengerema. Wenje ni mbunge ambaye uchaguzi wake ulikuwa ajali tu ya historia. Hakuna mtu mwenye akili anaetegemea Wenje kuchaguliwa tena.

akichaguliwa tena utaonekana wewe ndo huna akili timamu. hifadhi post hii, itakuja ikusute
 
Jana walisema Tanzania Daima gazeti la CDM limeandika habari hii inaweza kuwa ya uongo leo

Mtanzania limeandika;

Wenje aibomoa CCM Sengerema
Wanachama 15 warudisha kadi za CCM ( linganisha 7 na 15 means twice)
watu 50 wajiunga na CDM ( HAIKURIPOTIWA KAMA KUNA WANACHAMA WAPYA WALIO JIUNGA NA CCM)
 
jana walisema tanzania daima gazeti la cdm limeandika habari hii inaweza kuwa ya uongo leo

mtanzania limeandika;

wenje aibomoa ccm sengerema
wanachama 15 warudisha kadi za ccm ( linganisha 7 na 15 means twice)
watu 50 wajiunga na cdm ( haikuripotiwa kama kuna wanachama wapya walio jiunga na ccm)

hii ni tega ni kutege=
 
Wenje Hana capacity ya kusambaratisha CCM huko Sengerema. Wenje ni mbunge ambaye uchaguzi wake ulikuwa ajali tu ya historia. Hakuna mtu mwenye akili anaetegemea Wenje kuchaguliwa tena.

kama ilivokuwa ajali kumchagua jk
 
Mkuu Balantnda habari za masiku tele .Naona kijana hakuelewi mkuu
Nzuri mkuu wangu......Hope uko pouwa sasa mkuu...

Hope amenielewa sasa......

Nipo tu mkuu wangu naomboleza msiba wa dada yetu mpendwa Regia Dotto Mtema......
 
katika wilaya ya geita jana viongozi pamoja na wanachama 50 wa chadema walirudisha kadi na kujiunga na ccm.kwa hiyo hadi sasa uongozi wa cdm ktk wilaya za geita,sengerema na mwanza mjini umesambaratishwa mbaya kabisa.

acha kupotosha watu.kazi uliyotumwa hapa haitafanikiwa.hapa si kwa shee ubwabwa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom