Wenje asambaratisha CCM Sengerema

katika wilaya ya geita jana viongozi pamoja na wanachama 50 wa chadema walirudisha kadi na kujiunga na CCM.kwa hiyo hadi sasa uongozi wa cdm ktk wilaya za geita,sengerema na mwanza mjini umesambaratishwa mbaya kabisa.
 
Wenje ni mbunge, waziri kivuli na mkurugenzi nje! Malipo mara 3!

CHADEMA hailipi mawaziri vivuli wake chochote wala hailipi mishahara wabunge wanapokuwa wakurugenzi. Hata hapa Zanzibar, Waziri wetu kivuli Raya Ibrahim amenieleza kwamba halipwi. Hivyo tuwaunge mkono wapambanaji wetu waaojitolea.

Asha
 
Asha........Karibu tena jamvini....

Nafurahi kukuona tenda ndani ya JF....

Bala.
 
geita,sengerema na mwanza mjini chadema wanahamia ccm.janatu apa geita 50 wametoka cdm wamerejea ccm.sasa hizi habari za kutunga za TZ Daima si uzushi mtupu.
 
mbeya mlisema shambwee shitambala hajahama jana mmeenda kununua watu ili wawe viongozi wa muda.subirini tu huku mwanza nako mtatoa majibu bila kupenda.
 
Nepu kweli amewaweza vibaraka wake
 
Si vibaya mtu kuhama chama na kwenda kwingine lkn inapotokea "nabii" mwenyewe ni Ngeleja kweli mie nachoka na kuamini kuna tatizo kwa hao wanaohama "okoka"
 
mbeya mlisema shambwee shitambala hajahama jana mmeenda kununua watu ili wawe viongozi wa muda.subirini tu huku mwanza nako mtatoa majibu bila kupenda.

Ni lazima ujidhalilishe humu jamvini kwa kuleta upupu kila mara?
 
mbeya mlisema shambwee shitambala hajahama jana mmeenda kununua watu ili wawe viongozi wa muda.subirini tu huku mwanza nako mtatoa majibu bila kupenda.
Wewe unazungumzia Mwanza ipi? maana kama ni hii ya Tz utakuwa unaota au kama uko macho basi una bwabwaja.
 
vp huko geita,wale 50 waloikimbia cdm jana wakaingia CCM.kazi kweli kweli.chadema mwaka huu mnalo.juzi ileee sengerema,juzi tena mwanza mjini jana geita na bado.
 
Wewe unazungumzia Mwanza ipi? maana kama ni hii ya Tz utakuwa unaota au kama uko macho basi una bwabwaja.

Hata wanaokufa hufarijiwa na kujifariji.wewe huna lolote kidampa tu.kwa taarifa yako cdm inakufa hapo mwanza.wote hao wanaokudanganyeni wa kwenu ni wa kwetu wote,na 2015 hakuna cha wenje wala mama yake kiwia kula kichwa tu.we si wakala tu njaa wewe
 
Back
Top Bottom