Halafu maelezo ya gari hayapo je kama ni ya boxer.
Mpwa na we huamini hizi habari za gari????
Mpaka nione aina ya gari.
Nashangaaga sijui kwa nn hao wanao muhonga magar wasimtafutie kazi ya maana akafanya walau na yeye akawa anajitegemea kivyake
Wema tatizo kazoea maisha ya kupewa , ata chupi ananunuliwa yule, kwanza tokea apate gar la umiss mwaka 2006 mpaka kesho wema hajawah kununua gar kwa pesa yake, matokeo yake kila siku anadhalilishwa, anasahau kuwa cha mtu mavi, alivyodhalilishwa na clement kupokonywa had vifaa vya kampun bado hajajifunza, wanaume ni wale wale tu zinatofautiana size za ududu tu ila tabia ni zile zile