Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,124
Humu jamvini kimya ; unajua kwanini? Chadema wamecheza kama Pele katika angle zote
1. Viongozi wakuu wote wameshiriki akiwemo Lisu tuliyeambiwa ana ugomvi na Mbowe
2. Tuliambiwa watoto wao nao washiriki maandamo; Mbowe kuchukua watoto wote kuwapeleka front
3. Tuliambiwa maandamano ni vurugu,hakuna vurugu mwanzo mwisho.
4. Tuliambiwa wanaoandamana wanafikiri kwa kutumia nyayo; polisi na mkuu wa Mkoa wameandamana kila mmoja kwa njia yake sambamba na waandishi wa habari sidhani kama Nchimbi anaamini jeshi la polisi wanatumia nyayo kufikiri wala wana habari
5. Tuliambiwa maandamano yanalenga kupambana na SSH, maandamano yamejikita kwenye kero za wananchi.
6. Tuliambiwa maandamano hayaleti msosi mezani; wanasiasa wameona mabango yanavyoreflect maisha ya wapiga kura. Wapo busy kutatua kero ikiwemo kushusha bei ya sukari ambayo kabla ya kusikia maandamano hakukuwa hata na kauli ya bei elekezi
7. Tukaambiwa Watanzania hawataki maandamano, wenye dola wameona mwitikio ulivyokuwa mkubwa. Wametambua Watanzania wanaelewa wanataka nini.
8. Tukaambiwa na viongozi, wakae kwenye mazungumzo. Natumai wameona mazungumzo ya umma yalivyo na nguvu kuliko mazungumzo ya siri ya wanasiasa
9. Tukaambiwa polisi watafanya usafi, RC kaishia kufanya yeye usafi polisi wamemkataa
10. Tukaambiwa ni utekelezaji wa 4R, umma unasema hakuna 4R za mashinikizo . 4r ni kuruhusu mifumo ya sheria ifumuliwe tuache kuvumiliana na kuheshimiana kwa nguvu ya dola tuheshimiane kwa kuzingatia katiba na sheria.