Jaman, udini ni mtaji wanaotumia CCM kutugawa watz, mbaya zaidi viongoz wa kiislam ndio wanaotumiwa kwa sasa, ila wajue impactyake ni mbaya sana kwa siku za usoni
Hii ni kesi ya ngedere kapelekewa nyani,hakuna loloooote litakaloendelea!kwanza yawezekana kabisa huyo maharage alipanga mpango na polisi,walifaham fika atafanya hivyo we mpaka mtu anapaTa chance ya kupIgwa picha na media unadhani ni jambo jepesi? Sarakasi tu za ccm
Mimi siitwi masaburi..Masaburi ni Meya wa Jiji la DSM! Mimi naitwa rejao!
Hivi mbona wewe mtoto unalazimishia sana kuingia kwenye siasa? Kule MMU ndio kunakufaa zaidi.
Kila kitu hapa TZ kinapelekwa kisiasa,sheria na masharti ya umiliki wa silaha ndogo (pistol) inakataza kuiweka hadharani (expose).hadi sasa nilitegemea yafuatayo yawe yameshafanyika kama mh Nahodha angekuwa na dhati ya kulishughulikia suala hili:
1.Kumyang'anya Rage silaha husika na kuihifadhi polisi
2.kumfungulia mashitaka kwa kuiweka hadharani silaha hiyo
3.kumfutia kibali cha umiliki wa silaha hiyo kama masharti ya umiliki wa silaha yanavyoelekeza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.