Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Rage achunguzwe; DPP anafanya nini?

Jaman, udini ni mtaji wanaotumia CCM kutugawa watz, mbaya zaidi viongoz wa kiislam ndio wanaotumiwa kwa sasa, ila wajue impactyake ni mbaya sana kwa siku za usoni
 
Hii ni kesi ya ngedere kapelekewa nyani,hakuna loloooote litakaloendelea!kwanza yawezekana kabisa huyo maharage alipanga mpango na polisi,walifaham fika atafanya hivyo we mpaka mtu anapaTa chance ya kupIgwa picha na media unadhani ni jambo jepesi? Sarakasi tu za ccm
 
Mimi siitwi masaburi..Masaburi ni Meya wa Jiji la DSM! Mimi naitwa rejao!
Hivi mbona wewe mtoto unalazimishia sana kuingia kwenye siasa? Kule MMU ndio kunakufaa zaidi.

wakati mwingine hata asiyejua kuchambua anadetect upuuzi ulioandika,unakera!
 
Sijui tatizo ni nini. Kuwa na bastola ambayo una leseni nayo na kuimiliki kihalali au kuwa nayo kwenye mkutano?
 
Rage ni mgeni wa bastola. Alikuwa anataka kuonyesha kuwa anamiliki bastola.
 
Kila kitu hapa TZ kinapelekwa kisiasa,sheria na masharti ya umiliki wa silaha ndogo (pistol) inakataza kuiweka hadharani (expose).hadi sasa nilitegemea yafuatayo yawe yameshafanyika kama mh Nahodha angekuwa na dhati ya kulishughulikia suala hili:
1.Kumyang'anya Rage silaha husika na kuihifadhi polisi
2.kumfungulia mashitaka kwa kuiweka hadharani silaha hiyo
3.kumfutia kibali cha umiliki wa silaha hiyo kama masharti ya umiliki wa silaha yanavyoelekeza
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom