Waziri Sitta: Dowans ni genge la ulaji wa vigogo watatu; tusiwalipe!

Kinyamana amezungumzia hukumu ya Tanesco na Dowans na kusema kuwa hiyo ni mikakati ya watu watatu vigogo ndani ya serikali.
 
Hivi hayo magazeti ya serikali (habari leo na Daily newz) kwa nini hayaandiki habari hii ya Dowans kushinda kesi na kutakiwa kulipwa mabilioni?
 
KWA HAWA MAFISADI WA DOWANS NA WAFADHILI WAO 'MWENDO WA KUWANYATIA MMOJA BAADA YA MWINGINE, FAMILIA ZAO PAMOJA NA MALI ZAO NDIO JIBU KWETU VIJANA TANGU SASA:

Wenye magendo na nia ya dhati kuendelea kuhujumu uchumi na KUTAFUNA RASILMALI YA TAIFA BILA HURUMA, nadhani siku si nyingi sana Wa-Tanzania tutalazimika kidogo kuweka AMANI yetu kabatini na UTAWALA WA KIJANJA WA SHERIA na kuzipitia baadaye kidogo ili vijana kwanza tukamalizane kiaina na nyie. Hapo adabu itakwepo.

Ndio, nadhani njia pekee tuliobaki nayo ni hii hapa. Hakika, itabidi na familia zenu popote pale walipo nao kama hawaoni kwamba mnafanya KUFURU vitendo vyenu vinatuelekeza kuchukua hatua za makusudi kabisa ili sasa tuanze tu na nyinyi pamoja na familia zenu popote pale mlipo - KWA MWENDO WA KUWANYATIENI BILA YA KELELE ZOZOTE ZA MWIZI MWIZI - halafu matamu yake yatakua fundisho tosha kwa wengine wengi wa aina yenu.

Nyinyi si ni wajanja, na wanasheria wote mnao, taasisi zote muhimu tayari mmezinunua ndani na nje ya nchi sio??????????? Sawa basi!!! Huu ujinga tutaufumbia macho hadi lini. Ole wake mtu atumie sehemu ya KODI YANGU kuwalipeni ninyi MASHETANI WAKUBWA!!!!!!!!!!

Nao wanafamilia zenu wamekataa katakata kuwashaurini kutufanyia taifa letu huu UBAKAJI WA KUTISHA WA AINA HII, OK!!!!!!!!!! Hivi kwanza wanachi mnaowakilishwa na watu kama hawa mnajisikieje????


Waswahili huwa wanasema ukicheka na nyani utavuna mabua. Naona kuna haja kubwa ya kueliminate baadhi ya watu kwenye siasa za Tanzania. Otherwise itafika siku tutakuja juta, au nchi yetu itabaki vipande kutokana na ujinga na uroho wa watu wachache. Time will tell. Kuna haja ya kuchukua hatua kali na kufanya uamuzi mgumu.

Am sure this country has men who can do the job.
 
If Sitta is being patriotic,he should then resign. Otherwise he is just a POLLUTER by MAKING NOISE.


...What if he is a Fighter and taking the Bull by its Horns by Fighting WITHIN ?? Give the Guy the Benefit of Doubt. He is doing his two cent worth of fighting the Corruption Evil. At least he is doing something. What about YOU and ME ????
 
Kuna watu humu siwataji wanamlaum Sitta kwa kusemea nje ya baraza la mawaziri yaani angetolea maoni yake ndani ya vikao lakini kwenye sataka la Zitto walikuwa wanasema ni uhuru wake kuongea na vyombo vya habari, naomba msiwe ndumilakuwili katika hili naye Sitta ana uhuru wa kuongea na vyombo vya habari.
 
Wadau,
Sidhani kama anachokizungumza Sitta kinaweza kukubalika kwa Watanzania walio wengi. Ni abiria anayesafiri kwenye meli ya ufisadi. Hivyo ndivyo ninavyoamini mimi.Dhana ya kuwa na chakula kisafi kwenye sahani chafu huenda sambamba na mtazamo wa kuendelea kupiga kelele kwenye boti linalozama badala ya kutafuta njia ya kujiokoa. Sitta yupo ndani ya mfumo huu kwa muda mrefu na anajua wazi mambo yanavyofanyika. Nina wasiwasi na tamko lake. Yawezekana ni kutaka kutuchanganya wananchi tuliopoteza matumaini ya maisha haya na kumtafuta hata malaika mmoja anayeweza kutuvuta mkono. Tunamkubali kwa kudhani kuwa Sitta ni mkombozi aliyedondoka kwa ajili ya kutubadilishia mfumo wa maisha tunayoyalilia. Hizo ni mbwembwe tu,hana nafasi ya kufanya maamuzi. Analeta propaganda kwa kuwa naye ana machungu yake mengi aliyoyabeba moyoni. Tunapaswa kujiuliza: Je, kelele za Dowans na Richmond zimeanza leo? Alikuwa wapi siku zote?


....Unajua kuwa kuna MTUME mmoja wa MUNGU ambaye leo tunasoma sana Injili yake na kuikubali lakini kabla ya kuwa Mtume alikuwa muuaji mkubwa wa watu akiitwa Sauli hadi pale alipouona Mwanga???
Chochote cha kuwaumbua Mafisadi ni kheri kwetu potelea mbali kimetoka mdomoni kwa nani.

 
Like I some wiseman said These are the people who

They promise to build a bridge even where they is no river.

These are the people who, when they see light at the end of the tunnel, go out and buy some more tunnel
 
Six anajaribu kujikosha lakini yeye sasa hivi ni mmoja wa genge hilo. Hatudanganyikiiiiii

Kumbe huyu Mr. Six ni Mjanja, aliamua kuingia jikoni halafu kumwaga mboga si wao waning'ang'ania ugali. Sasa ishu iko hapo jee nao watakula ugali bila mboga au!!!!!!!
 
Kila nikiona Mtanzania mwenzangu anatoa such comments...... Huwa nakata tamaa kabisa, na kuona Safari bado ni ndefu sana... Na huenda hatutafika in any near future

Usikate tamaa, mtu kama huyo haelewi anachokisema, hivyo nikuendelea kumpa shule, japo ni kazi ngumu. Watu kama hawa kwanza huwa hawataki kuelewa
 
Sitta hana pa kuponea
SITTA bado hajachelewa, anaweza kujinasua kwa kujiuzulu uwaziri na kuamua kubakia kama mbunge. Bila ya shaka kwa uamuzi huo, CCM watamvua uwanachama na kwa hivyo kukosa sifa ya kuwa mbunge, na bila shaka hatua hiyo itazidi kuwathibitishia Watanzania udikteta, ufisadi na ulafi wa CCM, na Watanzania watamuunga mkono Sitta. Uchaguzi mdogo ukiitishwa agombee kupitia chama chengine. Hapa falsafa ya "Ukishindwa kupigana nao, ungana nao" haitekelezeki, bali "Ukishindwa kupigana nao, tengana nao".
USHAURI WA BURE KWA MHE. SITTA, ONDOKA CCM KABLA HAWAJAKUONDOA (na sio mbali, isipokuwa ukikubali kufyata mkia).
 
Hivi hayo magazeti ya serikali (habari leo na Daily newz) kwa nini hayaandiki habari hii ya Dowans kushinda kesi na kutakiwa kulipwa mabilioni?

wana kazi moja ya kuvizia migogoro ya chadema waandike lkn safari wamekwana wananchi wanajua mbinu zao chafu zote.mie nafikiri wakitaka kuwamaliza cdm wawashughulikie kwanza mafisadi .hilo ndilo kero kubwa sana kwa wananchi na ndilo litaiua ccm
 
...Japo si kila wakati ni njia sahihi, lakini huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia. Alichosema 6 na tunachoamini sisi ni hichohicho, so ukweli ni ukweli haualishi umewekwa mezani na nani.
 
Yangu masikio na macho. Isije ikawa nguvu ya soda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom