DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Taarifa za kwamba DP World itaboresha bandari ya Dar es Salaam na mapato kuongezeka hiyo ni ndoto ya mchana kweupe! Hawa watu wamejipanga kuikamua nchi wanachofanya ni kupata pesa kwa mkataba hewa ambao unahusishwa kampuni hiyo.

Mimi nasema haya lakini nimeona niseme maana wanaodhani kuwa kutakuwepo teknolojia kubwa hapo bandarini ya kushusha mizigo na mapato kuongezeka hiyo NI ndoto ya mchana kweupe! CCM katika nchi hii hawana uzalendo wa kweli kwa ajili ya kuleta maendeleo wapo busy kuweka familia zao kuja kutawala watanzania na kubadilisha Sheria ambazo zinawasaidia wakistaafu kuendelea kula cake ya taifa! Miradi hii mnayoiona NI vile Tu ilikuwa imeshaanzishwa na mtangulizi wao na hata hivyo hamtokuja kuona na inakamilika kwa asilimia 100.

Kielelezo cha kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere walidanganya watanzania maji hamna angalieni kwa sasa maji yamejaa hadi kuathiri watu 981 eneo laRufiji

Nachojuwa ni kwamba bwawa Hilo bila kuwepo mabwawa mengine tungepata megawat 2500 ambazo kama taifa tusingelalamika kuhusu umeme hata bei ingepungua. Sasa umekuwa danadana ya mitambo kuwashwa mara mtambo namba flani hakuna kinachokamilika katika awamu hii nawaambia

Hata SGR hiyo watu wa Morogoro - Dodoma na Singida hongereni huenda ikawa mwisho wa eneo hilo treni ya umeme kufika maeneo mengine Serikali itakuwa nilinatekeleza kwa speed ya kusinyaa kuja kukamilika 2050.

Nachojiuliza je Serikali haina pesa kuweka mitambo yote kwa ajili ya bwawa la Nyerere? Nyie watendaji wa serikali mnapofanya kitu ebu wapeni watanzania ukweli kwa kumaliza mnachoanzisha mbona awamu ya tano ikianzisha mradi ilikuwa inamaliza na kuufungua shida nini hasa awamu hii.

Hiyo DP World inakusanya pesa tu sioni inachoboresha bandarini
 
We bwege tuachie mambo ya nchi yetu pambaneni na ukabila huko kwenu Rwanda
 
Back
Top Bottom