Waziri Sitta: Dowans ni genge la ulaji wa vigogo watatu; tusiwalipe!

Nawaambiaa ole wao...maana kilio chetu hakitasahaulika na machozii hayaa yatawalilia milele....ngoja rais ajaye sijui watajificha wapi....nakwambiaa woote mahakamani...tuu wakaonje joto jiwe....JK na team yake hosea,chenge EL karamagi....jeetu ,kamataa wotee haoo kina patel wanajifanya serikali mfukoni...kina tanil nakwambiaa watafute pa kwendaa
 
Kauli ya ngeleja inaonyesha gvt wanataka kulipa dowans 94bils haraka jambo ambalo si la kawaida.
Tukiangalia seriakali inadaiwa madeni mengi sana kiasi cha kuwa na upungufu wa budget mwaka huu.
Wazee wa ea wamedai madai yao kwa muda mrefu sana na wamepigwa mabomu na kudhalilishwa pamoja na kushinda kesi yao mahakama kuu.

Wanafunzi wanadai mikopo na wanadhalilishwa sana mpaka wanapiga mabomu.
Walimu mpaka sasa hawajalipwa malimbikizo hadi sasa na wametishia kugoma lakini kikwete hajali hadi sasa.

Wafanyakazi wamedai nyongeza ya mshahara lakini tucta wameshindwa hadi sasa badala yake wamepandisha bei ya umeme!

Ni kwa nini seriakli haijali madai ya raia wanaolitumikia taifa na kuwajali dowans ambao wanalihujumu taifa???

Dowans ina nini????
 
Wazee wa ea wameshinda kesi yao lakini gvt haijalipa madai yao mpaka wengine wamekufa!!! Wamedai malipo yao wakapigwa mabomu!!!!
Tuct wamedai wakatukanwa!!! Walimu wamedai malimbikizo bila mafanikio
!!!! Wanafunzi vyuo vikuu wameandamana wakapigwa mabomu!!!
Sasa kwa nini wenye haki hawapewi malipo ila watu wahaini dowans wanashughulikiwa haraka malipo yao??
 
Wazee wa afirika mashariki ni wazee sana na wamechangia kupigana vita iliyo tuletea uhuru wa nchi hii sasa kwa nini wasilipwe.
Pia polisi nao juzi walilalamika kuwa hawapati pesa za uhamisho na kulalamika gazeti la mwananchi sasa serikali hiyohiyo haijali polisi !!!
Wanajeshi jwtz mpaka sasa hawajalipwa mafao wanazungushwa sasa hii ni hatari kuikumbatia dowans ambayo ni mali ya rostam aziz
 
Jamani maandamano ya kupinga ufisadi dhidi ya waziri wa nisahti na madini hapa Dar ni lini??

Mi nataka tutunishiane misuri na KOVA, nchi imetekwa na genge la kihindi
 
Back
Top Bottom