Waziri Sitta: Dowans ni genge la ulaji wa vigogo watatu; tusiwalipe!

Namheshimu sana Samuel Sitta lakini kwa hili naona kachemsha. Kama waziri, ameingia kujibu masuala ambayo si ya wizara yake, yaleyale ya Lyatonga Mrema ninayosikia yakisimuliwa ya kujifanya waziri wa kila wizara (angalao Lyatonga nasikia alipewa ruksa hiyo na mzee Ruksa). Angetolea mchango wake huo kwenye baraza la mawaziri, kazi ya kusema magazetini amwachie waziri mhusika.
 
Kama kweli 6 anamaanisha anachokitoa mdomoni kwake,ni heri ajiuzulu na abaki kua mbunge wa kawaida. Otherwise ni MCHAFUZI WA HEWA kwa maneno yake MATUPU.
 
Watanzania ndivyo tulivyo, bila kubadili katiba, hata ukweli ukijulikana, nani atamkamata mwenzie hata kama ukweli unajulikana?

Muda tuliokuwa nao wa kuchagua Rais mpya, watanzania wenzetu walitusaliti, sehemu ya kuanzia ni katiba, theni tuondoe viongozi hao kwa kura na si kwa mazungumzo.

Aliyepaswa kuwa Rais, alipokonywa ushindi na genge lililoandaliwa, hebu niishie hapo make nitaanza kuumia roho. Sipendi usalama wa taifa, sipendi TAKUKURU , sipendi tume ya taifa ya uchaguzi, sipendi kuona mtu tena masikini amevaa tisheti ya kijani mpaka nchi itakapo kombolewa.
 
Firiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Sasa Six amepuliza kipenga rasmi na vita dhidi ya ufisadi ianze. Naamini sasa hivi hakutakuwa na kuangaliana tena usoni kwasababu anajua kilichotekea pale alipowaangalia usoni kwenye sakata la Richmond bungeni. Na yeye anajua kuwa ilikuwa rahisi kuwashinda kipindi kile akiwa spika kuliko sasa hivi, vilevile anajua akiamua kupambana nao sasa hivi inaweza kumjenga zaidi. Au ndiyo maana alikubali uwaziri hili akipambana wakamfukuza jamii itambue msimo wake. Huu ni muda wa mapambano, na sisi tunaangalia kwa makini kila hatua.

Six hatutaki kelele za kwenye magazeti tu, peleke hoja zako na kwenye baraza la mawaziri fanya ushawishi katika chama ndipo utaweza kushinda vita dhidi ya hao mafisadi. Watanzania tuko pamoja na wapigania haki zetu daima!
 
Nani anasema makundi ndani ya CCM yamekwisha? bado yanafukuta. Ingawa SS ameficha majina tunawajua wahusika wakuu wa sakata hili ni.........Lowassa, Rostam na...................
Nafikiri SS ataweza akatusaidia sana kuhusu sakata hili maana kwa kiasi kikubwa ndilo lililochangia kuukosa uspika na anaujua undani wake.
sio chenge hapo?
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Tangu mwanzo niliposikia habari za Dowans kulipwa mabilioni ya walipa kodi nilijua uchaguzi 2015 ipo kazi ya ziada kuwashinda mafisadi.Uzoefu unaonyesha wazi serekali itailipa Dowans kwa kasi ya ajabu fedha zitakapo ingia mikononi mwa mafisadi hakuna wa kuwashinda.Nina hamu kubwa kusikia neno kutoka kwa Mkwere atakapokuwa anawadanganya wananchi labda hajui sababu ya kupungua kura zake ni pamoja na kuwakumbatui mafisadi.

Watannzania tuamke tuwape support wapiganaji bila kujali wanawakilisha chama gani,Sitta anastahili sifa kubwa kwa ujasiri wa kutamka hadharani anachokifahamu bila kuuma uma maneno.
 
Sitta Chuma cha Pua, the true leader who sounds true son of Tanzania. Long live Chuma cha Pua.

Sitta Chuma cha Pua
Like Lincoln like Kennedy
Your name will prevail
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Tangu mwanzo niliposikia habari za Dowans kulipwa mabilioni ya walipa kodi nilijua uchaguzi 2015 ipo kazi ya ziada kuwashinda mafisadi.Uzoefu unaonyesha wazi serekali itailipa Dowans kwa kasi ya ajabu fedha zitakapo ingia mikononi mwa mafisadi hakuna wa kuwashinda.Nina hamu kubwa kusikia neno kutoka kwa Mkwere atakapokuwa anawadanganya wananchi labda hajui sababu ya kupungua kura zake ni pamoja na kuwakumbatui mafisadi.

Watannzania tuamke tuwape support wapiganaji bila kujali wanawakilisha chama gani,Sitta anastahili sifa kubwa kwa ujasiri wa kutamka hadharani anachokifahamu bila kuuma uma maneno.

natabiri: Iko siku sita ataondoka CCM kama Mrema, tena siku si nyingi
 
KWA HAWA MAFISADI WA DOWANS NA WAFADHILI WAO 'MWENDO WA KUWANYATIA MMOJA BAADA YA MWINGINE, FAMILIA ZAO PAMOJA NA MALI ZAO NDIO JIBU KWETU VIJANA TANGU SASA:

Wenye magendo na nia ya dhati kuendelea kuhujumu uchumi na KUTAFUNA RASILMALI YA TAIFA BILA HURUMA, nadhani siku si nyingi sana Wa-Tanzania tutalazimika kidogo kuweka AMANI yetu kabatini na UTAWALA WA KIJANJA WA SHERIA na kuzipitia baadaye kidogo ili vijana kwanza tukamalizane kiaina na nyie. Hapo adabu itakwepo.

Ndio, nadhani njia pekee tuliobaki nayo ni hii hapa. Hakika, itabidi na familia zenu popote pale walipo nao kama hawaoni kwamba mnafanya KUFURU vitendo vyenu vinatuelekeza kuchukua hatua za makusudi kabisa ili sasa tuanze tu na nyinyi pamoja na familia zenu popote pale mlipo - KWA MWENDO WA KUWANYATIENI BILA YA KELELE ZOZOTE ZA MWIZI MWIZI - halafu matamu yake yatakua fundisho tosha kwa wengine wengi wa aina yenu.

Nyinyi si ni wajanja, na wanasheria wote mnao, taasisi zote muhimu tayari mmezinunua ndani na nje ya nchi sio??????????? Sawa basi!!! Huu ujinga tutaufumbia macho hadi lini. Ole wake mtu atumie sehemu ya KODI YANGU kuwalipeni ninyi MASHETANI WAKUBWA!!!!!!!!!!

Nao wanafamilia zenu wamekataa katakata kuwashaurini kutufanyia taifa letu huu UBAKAJI WA KUTISHA WA AINA HII, OK!!!!!!!!!! Hivi kwanza wanachi mnaowakilishwa na watu kama hawa mnajisikieje????

Mtanzania wa kawaida sio rahisi kuyajua haya kwa kiasi cha kumfanya apate uchungu ndio advantage na mtaji mkubwa wanaotumia hawa watu.....na bado itachukua muda sana kwa mtanzania wa kawaida kuweza kujua haya mambo na ni vipi yanaathiri maisha yake ya kila siku....kwa sababu hazijafanyika juhudi za makusudi kumfamfanya huyu Mbongo wa kawaida kuyajua haya ....... ndio maana hata uamuzi wa hii kesi umekuja baada ya uchaguzi........its shame
 
yee woomiiiiiiii!!!!!!:embarrassed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
SASA WALE VIJANA WA UPINZANI TULIOWAPA KURA WAKO WAPI? Kwanini tusiandamane kila kona ya nchi ili na wale wananchi wa vijijini wajue ukweli jinsi nchi yao ilivyouzwa??

HIVI KIKWETE AMEKUBALI KUWAKANA RAIA MILIONI 40 NA KUAMUA KUWATUMIKIA WATU 3?. BWANA KAMA UMESHINDWA TURUHUSU TUTUMIE PANGA ZETU!!
 
Namheshimu sana Samuel Sitta lakini kwa hili naona kachemsha. Kama waziri, ameingia kujibu masuala ambayo si ya wizara yake, yaleyale ya Lyatonga Mrema ninayosikia yakisimuliwa ya kujifanya waziri wa kila wizara (angalao Lyatonga nasikia alipewa ruksa hiyo na mzee Ruksa). Angetolea mchango wake huo kwenye baraza la mawaziri, kazi ya kusema magazetini amwachie waziri mhusika.

Wewe hili sio la wizara ni la kila Mbongo mwenye uchungu na nnchi hiii.....
 
Mr SIX ni mnafiki. Alifanyiwa zengwe akatulia, akapewa peremende akakubali sasa anasema nini. Anajua fika kwamba ccm inaongozwa na genge lisilohitakia mema nchi yetu lakini bado yuko nao. Tunataka vitendo
 
Namheshimu sana Samuel Sitta lakini kwa hili naona kachemsha. Kama waziri, ameingia kujibu masuala ambayo si ya wizara yake, yaleyale ya Lyatonga Mrema ninayosikia yakisimuliwa ya kujifanya waziri wa kila wizara (angalao Lyatonga nasikia alipewa ruksa hiyo na mzee Ruksa). Angetolea mchango wake huo kwenye baraza la mawaziri, kazi ya kusema magazetini amwachie waziri mhusika.

Kila nikiona Mtanzania mwenzangu anatoa such comments...... Huwa nakata tamaa kabisa, na kuona Safari bado ni ndefu sana... Na huenda hatutafika in any near future
 
Wadau,
Sidhani kama anachokizungumza Sitta kinaweza kukubalika kwa Watanzania walio wengi. Ni abiria anayesafiri kwenye meli ya ufisadi. Hivyo ndivyo ninavyoamini mimi.Dhana ya kuwa na chakula kisafi kwenye sahani chafu huenda sambamba na mtazamo wa kuendelea kupiga kelele kwenye boti linalozama badala ya kutafuta njia ya kujiokoa. Sitta yupo ndani ya mfumo huu kwa muda mrefu na anajua wazi mambo yanavyofanyika. Nina wasiwasi na tamko lake. Yawezekana ni kutaka kutuchanganya wananchi tuliopoteza matumaini ya maisha haya na kumtafuta hata malaika mmoja anayeweza kutuvuta mkono. Tunamkubali kwa kudhani kuwa Sitta ni mkombozi aliyedondoka kwa ajili ya kutubadilishia mfumo wa maisha tunayoyalilia. Hizo ni mbwembwe tu,hana nafasi ya kufanya maamuzi. Analeta propaganda kwa kuwa naye ana machungu yake mengi aliyoyabeba moyoni. Tunapaswa kujiuliza: Je, kelele za Dowans na Richmond zimeanza leo? Alikuwa wapi siku zote?
 
kwani amesema nini huyo Sitta? thread imeanza as if kila mtu alimsikia alichozungumza huyo Sitta. iweke vizuri post yako mkuu!
 
KWA HAWA MAFISADI WA DOWANS NA WAFADHILI WAO 'MWENDO WA KUWANYATIA MMOJA BAADA YA MWINGINE, FAMILIA ZAO PAMOJA NA MALI ZAO NDIO JIBU KWETU VIJANA TANGU SASA:

Wenye magendo na nia ya dhati kuendelea kuhujumu uchumi na KUTAFUNA RASILMALI YA TAIFA BILA HURUMA, nadhani siku si nyingi sana Wa-Tanzania tutalazimika kidogo kuweka AMANI yetu kabatini na UTAWALA WA KIJANJA WA SHERIA na kuzipitia baadaye kidogo ili vijana kwanza tukamalizane kiaina na nyie. Hapo adabu itakwepo.

Ndio, nadhani njia pekee tuliobaki nayo ni hii hapa. Hakika, itabidi na familia zenu popote pale walipo nao kama hawaoni kwamba mnafanya KUFURU vitendo vyenu vinatuelekeza kuchukua hatua za makusudi kabisa ili sasa tuanze tu na nyinyi pamoja na familia zenu popote pale mlipo - KWA MWENDO WA KUWANYATIENI BILA YA KELELE ZOZOTE ZA MWIZI MWIZI - halafu matamu yake yatakua fundisho tosha kwa wengine wengi wa aina yenu.

Nyinyi si ni wajanja, na wanasheria wote mnao, taasisi zote muhimu tayari mmezinunua ndani na nje ya nchi sio??????????? Sawa basi!!! Huu ujinga tutaufumbia macho hadi lini. Ole wake mtu atumie sehemu ya KODI YANGU kuwalipeni ninyi MASHETANI WAKUBWA!!!!!!!!!!

Nao wanafamilia zenu wamekataa katakata kuwashaurini kutufanyia taifa letu huu UBAKAJI WA KUTISHA WA AINA HII, OK!!!!!!!!!! Hivi kwanza wanachi mnaowakilishwa na watu kama hawa mnajisikieje????
Itabidi tuanze kuwa vizia maana ndiyo njia wanayoiona sahihi kwao...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom