Esoterica
Member
- Jun 18, 2011
- 48
- 11
Waziri Nchimbi akimbia na sanduku la kura Songea |
|
Madiwani warushiana makonde VURUGU kubwa zimezuka jana mjini hapa baada ya baadhi ya madiwani kurushiana makonde na kumlazimu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. John Nchimbi, kukimbia na sanduku la kura nje ya ukumbi baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa meya yanayohofiwa kuchakachuliwa... Source: Tanzania Daima |