Waziri Nchimbi akimbia na sanduku la kura wakati madiwani wakigombana

DR. Nchimbi amekwisha kanusha habari hii na ameyataka magazeti ya TZ Daima, mwananchi na majira yakanushe habari hii front page na wa-apologize!!
 
Kitendo cha Waziri wa utamaduni na miche bwana John Nchimbi kuiba kura na kutangaza matokeo ya uongo wakati wa uchaguzi wa meya katika jimbo Songea ni kitendo cha kujipotezea heshma ndogo aliyokuwa nayo kukifanya Chama Cha Magamba kizidi kuwa cheusi!
 
Hivi Nchimbi ndiye alikuwa returning officer wa uchaguzi? Au ndio katika fitina za kisiasa
 
Kitendo cha Waziri wa utamaduni na miche bwana John Nchimbi kuiba kura na kutangaza matokeo ya uongo wakati wa uchaguzi wa meya katika jimbo Songea ni kitendo cha kujipotezea heshma ndogo aliyokuwa nayo kukifanya Chama Cha Magamba kizidi kuwa cheusi!

Anataka magazeti yamwonyeshe alivyo jitwisha box la kura kichwani
 
Hivi haya magazeti hayajabainisha tu solid evidence za namna jamaa alivoiba kura? ingesaidia kumkata kilimi kilimi, wasiiache habari ikielea,wafanye kama wanavotutolea jamaa (wassira) anavolala bungeni
 
Time kuwapumzisha ma CCM na kuachana na hoja za kipuuzi za matukio yasiyo na faida kwa Taifa kila siku.Waliwa bench am sure watatia akili wamesha jisahau sana hawa watu .Umri wa Nchimbi na kukimbia na sanduku na kura fedheha ila sasa miaka hii wamenasa kila kona kuna JF Camera za kumwaga na ushahidi upo hapo hapo labda wafanye usiku wa manane.
 
Kitendo cha Waziri wa utamaduni na miche bwana John Nchimbi kuiba kura na kutangaza matokeo ya uongo wakati wa uchaguzi wa meya katika jimbo Songea ni kitendo cha kujipotezea heshma ndogo aliyokuwa nayo kukifanya Chama Cha Magamba kizidi kuwa cheusi!
Jamaa alipanic akajikuta amefanya jambo la aibu waziwazi.Naamini sasa atakuwa anajuta na amenifanya niingie mstuni kutafuta data zake za ofisi yake ya wizara in detail ili nijue kama aliteleza tu kwenye tukio hili au ndo namna anavyofanya maamuzi hata katika ofisi ya wizara.
 
Leteni video hapa uwanjani, vinginevyo habari zenu ni paparazzi tu.
 
Kweli kama ndio mambo anayoyafanya atatuangusha sana Watanzania.

Tushaangushwa kitambo sana,tena c na yeye tu wengi ya mawaziri wa ccm. mwanagalie Ngeleja na inshu zake hata kumkumbatia Jairo aliporejeshwa na Luhanjo mzee wa Ilembula
 
Nimecheka sana hapo uliposema anajipotezea heshima ndogo aliyonayo! kumbe heshima yenyewe ni ndogo? hahahhaaa
 
Sio kujiaibisha tu mwanawane, bali kajitia doa kubwa sana katika mipango yake ya kisiasa as he was among potential candidate for Chama Cha Magamba for 2015.

Watakwisha wote kwa matendo yao ya dhulma kwa Watanzania. Angalia Rage, Aeishi, Mwigulu nchemba
 
Kichwa kikubwa namna ile alikimbiaje? Hakuanguka? Nchimbi is a dog in a Manger lol..
 
Back
Top Bottom