Dr. Tulia Ackson- kupotelea kwenye sanduku la kura; mkakati waandaliwa kuachana naye bila tashwishwi

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,124
Mkakati waliachana na Dr. Tulia Ackson- umekamilika ambapo wenye chama chao na ambao wakati wa regime iliyopita alitumia madaraka yake kuwaumiza wanaenda naye taratibu kuelekea 2025. Wanafahamu kwamba hatoweza kutoka katika sanduku la kura kwa sababu hakuna anayemkubali kulinganisha na wapinzani wake. Wamempa nafasi na fedha nyingi zakujiandaa lakini hali bado mbaya. Wakina sugu wapo zao kimya wanakula Bata hakuna harakati wanazofanya kwa sababu wanafahamu kwamba uwanja utakuwa mwepesi sana

Baada ya uchaguzi 2025 spika anaweza kubaki nyumbani au kutafuta kazi nyingine isiyo ya kisiasa. Ikumbukwe spika siyo mwanasiasa na hajawahi kupigiwa kura kwenye ulingo wa siasa bali anaishi kwa upeo wa mwanasiasa aliyepo......... Naandika kumsaidia kuishi kwa akili na wanaomzunguka; Ndugai anafahamu vyema hii michezo
 
Mtu ambaye hakutishi huwezi kuhangaika nae. Anayekitisha ndio Kila Leo mnamuanzishie threads humu mkidhani atawaogopa. Kwa taarifa yako yako Dr. Tulia, ametuliaaa! Anasubiri 2025 awafanye kitu mbaya!
 
Wewe wasema ila tunajua wana Mbeya sio wa kihivyo!
Na tunajua kunguni wake hamna uwezo wa kumpa kura hata kwa 5% ya kura
 
Mkakati waliachana na Dr. Tulia Ackson- umekamilika ambapo wenye chama chao na ambao wakati wa regime iliyopita alitumia madaraka yake kuwaumiza wanaenda naye taratibu kuelekea 2025. Wanafahamu kwamba hatoweza kutoka katika sanduku la kura kwa sababu hakuna anayemkubali kulinganisha na wapinzani wake. Wamempa nafasi na fedha nyingi zakujiandaa lakini hali bado mbaya. Wakina sugu wapo zao kimya wanakula Bata hakuna harakati wanazofanya kwa sababu wanafahamu kwamba uwanja utakuwa mwepesi sana

Baada ya uchaguzi 2025 spika anaweza kubaki nyumbani au kutafuta kazi nyingine isiyo ya kisiasa. Ikumbukwe spika siyo mwanasiasa na hajawahi kupigiwa kura kwenye ulingo wa siasa bali anaishi kwa upeo wa mwanasiasa aliyepo......... Naandika kumsaidia kuishi kwa akili na wanaomzunguka; Ndugai anafahamu vyema hii michezo
Bora apotelee Nonde ama Iwambi
 
Mtu ambaye hakutishi huwezi kuhangaika nae. Anayekitisha ndio Kila Leo mnamuanzishie threads humu mkidhani atawaogopa. Kwa taarifa yako yako Dr. Tulia, ametuliaaa! Anasubiri 2025 awafanye kitu mbaya!
Sio kwa kura halali.
 
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana na Dkt Tulia katika Sanduku bla kura .Mambo na vitu alivyofanya Dkt Tulia mkoani Mbeya Hakuna mwana Mbeya mwenye akili Timamu anayeweza kumnyima kura,hakuna anayeweza kuacha kura yake iende kwa mtu mwingine nje ya Dkt Tulia. Kila mahali utakakokwenda katika jiji la Mbeya lazima ukutane na mikono na alama za Dkt Tulia.kila kundi na kila rika na kila jinsia ineguswa na Dkt Tulia,kila mtu amefikiwa na mikono ya DKT Tulia.Amewapa mitaji na kuwawezesha vijana ,akina mama,wazee,yatima na watu wenye ulemavu,ndio maana ukipita katika vijiwe,vilinge na mitaa mbalimbali lazima ukute alama zake,lazima uone akizungumzwa vizuri na kupongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya ndani ya muda mfupi.

Wana Mbeya siyo vichaa wala wendawazimu kuweza kumpa kura sugu.Hata wasiojitambua tu hawawezi kumpigia kura Sugu aliyeshindwa kuliongoza jimbo na kuliletea maendeleo kwa miaka yake yote kumi ya ubunge wake.leo Mbeya inaheshimika na kuchipuka kwa miradi ya maendeleo kila kona kutokana na juhudi na jitihada za Dkt Tulia,.leo Mbeya inatembelewa na viongozi wakuu wote wa kitaifa kutoka serikalini na ndani ya chama kutokana na Dkt Tulia aliye Fahari ya wana Mbeya.

Wana Mbeya hawapo Tayari kumrudisha tena sugu aliyeligeuza jimbo kama uwanja wa mazoezi wa chadema kutokana na upeo na uwezo wake mdogo wa kufikiri na kuishia kutumiwa na wenzake katika kuleta mavurugu yaliyokwamisha shughuli za kiuchumi za wana Mbeya.

Sasa wana Mbeya wanafanya biashara na shughuli zao kwa amani ,utulivu na usalama wa hali ya juu sana,hawana hofu wala wasiwasi.wanetulia na Tulia wao na wanaendelea kuchapa kazi na kumuunga mkono Dkt Tulia.

Ni kupitia Dr Tulia kwa sasa kunakwenda kujengwa barabara za njia nne zenye urefu wa zaidi ya KM 218 kutoka igawa hadi Tunduma mkoani Songwe.

Chama kina furaha na raha kwakuwa Dkt Tulia Amekiheshimisha kutokana na uchapa kazi wake uliyogusa maisha ya wengi na kuleta Tabasamu, matumaini na furaha katika mioyo ya wengi. Sasa Mbeya inajivunia Dkt Tulia na kutembea kifua mbele hasa baada ya kuona kuwa mbunge wao anaungwa mkono na Dunia nzima ili awe Rais wa umoja wa mabunge Duniani kutokana Dunia kutambua kipaji na kipawa cha kipekee cha uongozi alichojaliwa na Mwenyezi Mungu.
 
Mbeya hawawezi kufanya kosa la kumpiga chini spika kijana Tulia na kuwachagua wavuta bangi.
 
Tulia ni Dr, mshahara alioupata kwa kipindi alichokuwa bungeni kama naibu spika na spika kinamtosha sana kuishi maisha mazuri hadi uzeeni.
Unadhani kwa kuandika haya atakuja kutaabika kama wewe?
 
Huu ni upumbavu mtupu uliouandika. Hakuna wana Mbeya wa hivyo
 
Tumuache mwambukusi tumchague tulia??labda wafanye kama magufuli, kupita bila kupingwa.lkn hapa aendelee kuaga
Ukitoa ishu ya DP World huyo Mwabukusi anabakiwa na hoja gani? Kwenye siasa za majukwaani ni ngumu sana kutoboa bila hoja kwa wananchi. Hayati Mrema alipendwa sana ila alikuwa akipanda jukwaani anaongea pumba. Kwenye mdahalo ulioandaliwa na BBC Mrema alipotezwa vibaya na Mkapa
 
Tulia ni Dr, mshahara alioupata kwa kipindi alichokuwa bungeni kama naibu spika na spika kinamtosha sana kuishi maisha mazuri hadi uzeeni.
Unadhani kwa kuandika haya atakuja kutaabika kama wewe?
kama swala ni kuishi maisha mazuri unafikir lissu angetoka LEAT kuja kwenye ubunge, unafikir mbowe angeacha biashara za familia ya mzee wake kuja kwenye siasa ni mjinga na mpumbavu pekee anayefikir kila anayeingia kwenye siasa anatafta maisha.
 
mbeya ichague mwenye ugonjwa wa juliana muulize kama alichaguliwa na anajua 2025 out aende akaendelee kuwalisha matango pori pale law school.
Hata wewe ni mwanaCCM mwenzetu sema tu hujapata ulaji ndo maana unabweka bweka hapa JF. Nitaongea na mamlaka ya uteuzi wakuteue hata kuwa secretary wa mwenyekiti wa kijiji upunguze njaa.
 
Back
Top Bottom