Waziri Nape Nnauye awasimamisha kazi vigogo wa TBC kutokana na utendaji usioridhisha

Hawana ubunifu wowote waheshimiwa wetu, kufukuza ni hatua ya mwisho sana ktk uongoz.
Tungeanza na kupeana mikakat na kuwezeshwa then mtu akishindwa hatua zaidi zichukuliwe.
Kwa mwendo huu hata watumishi nao pia hawatakua wabunifuwa.
Watakuwa wanasubir kufukuzwa tu.
Kweli mkuu otherwise hii fukuza fukuza itaondoa watu wazuri
 
Ah liwalo na liwe,kwa maana hakuna namna nyingine sasa..........tumechoka...wafukuzane tu!!!!
 
Kuna watu wazuri sana kati ya hao wanaofukuzwa sidhani km tunafanya tathmini za kutosha. Anyway wengi tunapenda wafukuzwe ili nafas zishikwe na watu wengne bt hebu tupime ufanisi utakaokuwepo
 
... atufafanulie maana ya 'utendaji usiyoridhisha'. hii inaweza labda ikawa ni pamoja na kutozingatia maagizo batili ya katibu mwenezi wa CCM
 
Hii ni awamu ya fukuzafukuza hakuna kupewa onyo wala nini, hii itafanya wafanyakazi wafanye kwa uoga na sio kwa nidhamu.
Kama wewe ni mwajiriwa fanya kazi kwa kujiamini kulingana na sheria na taratibu za kazi, uwe umepata hiyo kazi kwa uhalali au hata kwa mlango wa nyuma
 
Just in:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Wasanii, Ndg Nape Nnauye amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Matukio wa TBC Mbwilo Kitujime na Meneja wa Vipindi wa shirika hilo Bi. Edna Rajab na kuagiza kufumuliwa kwa Idara nzima ya habari na matukio ya TBC kutokana na utendaji usioridhisha.

TBC inahitaji maboresho labda ndo haya. Sekta binafsi tunabanwa haswa so haya mashirika yapate joto hilo hilo. Ila wasiwe wameonewa tu.
 
Just in:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Wasanii, Ndg Nape Nnauye amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Matukio wa TBC Mbwilo Kitujime na Meneja wa Vipindi wa shirika hilo Bi. Edna Rajab na kuagiza kufumuliwa kwa Idara nzima ya habari na matukio ya TBC kutokana na utendaji usioridhisha.

Mamlaka ya ajira ya hao maofisa ni Waziri, Board au Mtendaji mkuu wa TBC? Serikali ikiendelea hivi watu watakataa ajira zao
 
Namuonea Huruma Tu Mtani Wangu Wa Kihaya Ambaye Alikuwa MHARIRI WA HABARI Mr. Prudence Ambaye Juzi Juzi Tu Katoka Kuhitimu M.A. Yake Ya Mass Communication SAUT Mwanza Kwani Najua Na Yeye ATAONDOLEWA Tu Katika Hiyo Nafasi Labda Aje Anione Mtani Wake Nimpe " NDUMBA " Za Kizanaki Ambazo Zitamfanya Ang'ae Tu Muda Wowote Na Ikibidi Hata Kuchukua Nafasi Ya Bosi Wake Comrade Mr. Mshana.

ILA Nisiwe MNAFIKI, Kusema UKWELI TBC Na Nyie Mmezidi Na Hamfanani Kabisa Totally Kama Government Owned Media Organization Kama Zingine Za SABC, KBC, UBC Na Nyinginezo Nyingi Tu.

Haya Sasa Ndiyo Hivyo Tena Nape Keshawatieni Jamba Jamba Na Sasa Hivi Kama Nawaona Vile Mnavyotafutana Hapo Pugu Road Na Mikocheni.
Mwombee bwana mtani wako ni classmate wangu Lutabo na kishoju
 
Just in:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Wasanii, Ndg Nape Nnauye amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Matukio wa TBC Mbwilo Kitujime na Meneja wa Vipindi wa shirika hilo Bi. Edna Rajab na kuagiza kufumuliwa kwa Idara nzima ya habari na matukio ya TBC kutokana na utendaji usioridhisha.
Angeanza na mkurugenzi
 
Namuonea Huruma Tu Mtani Wangu Wa Kihaya Ambaye Alikuwa MHARIRI WA HABARI Mr. Prudence Ambaye Juzi Juzi Tu Katoka Kuhitimu M.A. Yake Ya Mass Communication SAUT Mwanza Kwani Najua Na Yeye ATAONDOLEWA Tu Katika Hiyo Nafasi Labda Aje Anione Mtani Wake Nimpe " NDUMBA " Za Kizanaki Ambazo Zitamfanya Ang'ae Tu Muda Wowote Na Ikibidi Hata Kuchukua Nafasi Ya Bosi Wake Comrade Mr. Mshana.

ILA Nisiwe MNAFIKI, Kusema UKWELI TBC Na Nyie Mmezidi Na Hamfanani Kabisa Totally Kama Government Owned Media Organization Kama Zingine Za SABC, KBC, UBC Na Nyinginezo Nyingi Tu.

Haya Sasa Ndiyo Hivyo Tena Nape Keshawatieni Jamba Jamba Na Sasa Hivi Kama Nawaona Vile Mnavyotafutana Hapo Pugu Road Na Mikocheni.
Wewe jamaa ni kituko kweli mara unajiita mrundi,mara mzanaki mara mkurya,wacha njaa itakumaliza
 
Ingefaa aseme wazi wazi sababu hasa za kuwasimamisha,,,hiyo dhana kwamba "Utendaji usioridhisha" ni too general, aseme hasa hasa kivipi, hii itasaidia ku clear doubt kwa wananchi na Kuendelea kusupport "Utumbuaji majipu"
 
Back
Top Bottom