Setuba Noel
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 426
- 210
Kwani kufundisha wahandisi ndio kupumzika?
Swali zuri mno hili! Anataka kutuambia JK alimstukiza na uteuzi akausikia redioni tu? Au mwandishi kamuwekea Mwandosya maneno mdomoni, hajasema hivyo huyu.