PICHA; Pinda amtembelea Mwandosya nyumbani kwake!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam kumjulia hali May 7, 2012. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalizungumza na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam kumjulia hali May 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam kumjulia hali , May 7, 2012. Katika ni Mke wa Waziri huyo, Mama Lucy Mwandosya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Pole Kamanda Profesa Mwandosya.

Mungu yuko nawe, utapona, bado tunakuhitaji sana.
 
Mbona nywele hakuna ni cancer au ndio vinasibu Mwakyembe's, Mungu akupe uzima wakuangalie kwa aibu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom