Wauza smartphone tukutane hapa

Note 4 nyeupe. Iko in excellent condition. Inaenda kwa 780,000. Kama uko interested nichek at 0717301520
 

Attachments

  • 1446726397725.jpg
    1446726397725.jpg
    24.7 KB · Views: 314
ORIGINAL samsung galaxy s5 16gb 16mp 5.1inch inauzwa inacrack kwenye mfuniko
kwa nyuma na kwenye kioo kidogo saana hata haionekani kiwepesi. bei chee haina tatizo lolote
kwa 380000 nicheki pm.
 
Samsung Galaxy J5 mpya bei ni $ 310.
Toleo jipya imeingia sokoni June 2015.

Kama uko serious ni-PM tufanye biashara.
 
Nokia ya tochi 10,000. Fursa hiyo Damidizzo. Maana unalalamika watu hawaweki simu za bei za watoto wa mkulima
 
Last edited by a moderator:
Htc one m7 kwa 440000/
Tecno c8 camon 330000/
samsung galaxy s4 400000/
Zote mpya kabsa na original,zina kila kitu
Kwa anaehitaji ani pm
 
Wakuu nauza tablet aina ya samsung galaxy note 10.1, ina internal memory ya 32 gb na ram yake ni 2gb, ukubwa wake ni inchi 10.1. Ina flash camera na inatumia line za kawaida kupiga na kupokea simu kama kawaida. Haina tatizo LOLOTE wala crack ya aina YOYOTE. Nipo dsm, bei ni tsh 700,000 tu. Namba yangu ni 0713-92 59 08. Karibuni sana
 
Nauza iphone 4s imepasuka kioo ila kitu kinafanya kazi ndo hii natumia hapa
 
Nimegundua Iphone nyingi zinazouzwa hapa ni clone ila wanawatega wenzengu na mimi ili waingie mkenge wauziwe kwa mara mbili au tatu ya bei ya clone. tafadhali waungwana kama unanunua iphone na hujui jinsi ya kutofautisha kati ya clone na original usiingie kichwa kichwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom