Wauza smartphone tukutane hapa

Laptop imetumika wik tatu tu
ACER, HDD 500gb, RAM 4gb, processor spid 2.1gh, Screen 15', Colour Black.
Bei maelewano wats app 0788155555

Vile vile kuna iPhone 5, internal mem 16gb, Colour Black, Screen protector and black plastic cover.
Bei maelewano wats app
0788155555
 
Nimegundua Iphone nyingi zinazouzwa hapa ni clone ila wanawatega wenzengu na mimi ili waingie mkenge wauziwe kwa mara mbili au tatu ya bei ya clone. tafadhali waungwana kama unanunua iphone na hujui jinsi ya kutofautisha kati ya clone na original usiingie kichwa kichwa.
Hv jyna clone ya iphone duniani?msiharibu biashara za watu jamani?
 
ORIGINAL samsung galaxy s5 16gb 16mp 5.1inch inauzwa inacrack kwenye mfuniko
kwa nyuma na kwenye kioo kidogo saana hata haionekani kiwepesi. bei chee haina tatizo lolote
kwa 380000 nicheki pm.

Fanya 300000 whatsap me 0767038109
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom