Wauza smartphone tukutane hapa

nauza samsung s4 original tena iko fully boxed ina kila kitu chake yani mpyaaaaa 490,000 check 0629267334 nipigie au tuma sms
 
Nokia x android phone org..
inafanya kazi vizuri haina shida yoyote na w haijawahi kufunguliwa ni kama mpya
bei 130,000
mawasiliano 0655 477748
 
Wakuu mi ninauza Nokia Lumia 630. Ina kila kitu chake...na bd ina warrant. Bei ni 180K. Dhumuni la kuiuza ni kwa kuwa nimepata simu nyingine. Kwa mawasiliano nicheki 0689 309 344.
 
S3 mpya original...nina na risti yake..ina protector ya glass charger na earphone
Bei 250000 haipungui niko mwanza
0719397568
 
Huawei y 300 naiuza laki moja ipo vizuri bei inaishia hapo mwenye kuitaka tuwasiliane kwa no. 0712702680 Nipo dar
 
Natafuta note 2 mbili na Grand prime 1 ziwe mpya Kwenye box ziwe na kila kitu chake.
Nicheki via 0715490570
 

Similar Discussions

63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom