Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 350
- Thread starter
- #21
Alioa Singida ila kwasasa anaishi dar..... kwakuwa umekiri unapajua Kwamtoro tupe utafiti wa watu wa kwamtoro.
Watu wa kwamtoro, maneno mengi, umbea kila kukicha. Tabia yao kuvumisha mambo wasiyo kuwa na uhakika nayo. Mademu, wababaikaji kinoma.