Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 350
- Thread starter
- #41
poti hata kama kuna ukweli jaribu kuficha mambo ya home! kumbk mdharau kwao mtumwa!
Kwamtoro ipo tofauti na usandawe kwetu. Kwa mtoro si unajua wanao ishi wengi ni wakimbizi. Wametoka Arabuni, Tanga, Kondoa, Dodoma NK