Watoto....best interest.....

Daddy will never lose his composure in or out of your presence. He is always cool, calm, and collected though at times he can be a bit sharp-tongued.
I know..I know but you do get carried away sometimes.Just like you did with Asprin..now the guy is offended or even pissed enough to put you on his ignore list..I think should apologise to him..GENTLEMANLY.
 
...Narudia tena. Tunatofautiana kimtazamo. Nimetoa mfano wa ndugu yangu, na mazingira ninayoyafahamu.
Hivi hapa mnabishanie nini..?
  • Kulelewa kijijini hakufai?
  • Kulelewa na Bibi/Babu hakufai? (ingawa labda kuna circumstances zinafanya hivyo.., maybe atapata malezi bora kwa babu/bibi)
  • Kumkatalia mzazi mwenza kumuona mwanae hakufai ?(even if mzazi mwenza anaweza kuwa bad influence kwa mototo)
Nadhani mki-elezea hayo hapo juu mnaweza mkajikuta mnakubaliana......

Nadhani what matter ni good intention ya mzazi (ni wapi anaona mtoto atapata malezi bora, upendo na kutengenezewa future nzuri)
 
samare ya hii diskasheni pliz.....yaani mkikorofishana na mzazi mwenzio wewe baba unabeba mtoto wa wiki mbili umlee au?
 
I know..I know but you do get carried away sometimes.Just like you did with Asprin..now the guy is offended or even pissed enough to put you on his ignore list..I think should apologise to him..GENTLEMANLY.

It's okay BabyGal...some people are just hypersensitive. I clearly didn't mean to offend him. All I did was a ask a simple, straightforward question. They call him ODM and I just wanted to know what it stands for. That's all. But my golly - I didn't think it was gonna be a hard question to answer or that he was gonna make it to be a big deal.

I don't really care if he puts me in his ignore list or if he adds me onto his list of friends. I don't know him and he doesn't know me. I don't put food on his table and neither he does on mine. I don't lose or gain anything if I'm on his ignore list or his list of "friends". So in the greater scheme of things - as they say - it's all good.

All that matters to me is my BabyGal. My whole world revolves around her.
 
Pardon my papito..he just want to understand what you guys are all about in here.

It's okay BabyGal....let him pout. Most grown men I know aren't that sensitive and they are usually straightforward when you ask them a question. So just let him be.
 
Sheria yetu ina mapungufu makubwa. Kwa nchi za wenzetu mtoto anahaki ya ku enjoy mapenzi ya wazazi wote wawili unless kuna kikwazo. Wangeruhusu mtoto awe anakaa kwa mama siku kadhaa na kwa baba siku kadhaa. Mtoto usiyekaa nae ni ngumu sana kuwa na feelings na wewe kama mzazi.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
It's okay BabyGal....let him pout. Most grown men I know aren't that sensitive and they are usually straightforward when you ask them a question. So just let him be.

Alright..thank you daddy for being here.

I think we are done with this issue of mama vs papa..rural vs urban areas child raising so we can get outta here.
 
Watoto wanaolelewa na bibi zao wengi wanakuwa ndivyo sivyo. Mimi mama yangu alikuwa very strict lakini leo hii amezeeka sithubutu kumpa mwanangu alee kwani bibi ni bibi; wajukuu wanamtania saaana
 
I know..I know but you do get carried away sometimes.Just like you did with Asprin..now the guy is offended or even pissed enough to put you on his ignore list..I think should apologise to him..GENTLEMANLY.
C'mon babie...... I never put no body in my Ignore list...... and why should I do that? Thanks for your caring..... you are an angel on earth. Even your avatar tells it all.
 
samare ya hii diskasheni pliz.....yaani mkikorofishana na mzazi mwenzio wewe baba unabeba mtoto wa wiki mbili umlee au?
Haya yote ni matatizo ya UMEME!.......... Ngeleja where r u @?
 
Alright..thank you daddy for being here.

I think we are done with this issue of mama vs papa..rural vs urban areas child raising so we can get outta here.

Yes, let's be done with it lest we offend more people. Now go tidy up your room so we can get going. Guess where I'm taking you to today?
 
Watoto wanaolelewa na bibi zao wengi wanakuwa ndivyo sivyo. Mimi mama yangu alikuwa very strict lakini leo hii amezeeka sithubutu kumpa mwanangu alee kwani bibi ni bibi; wajukuu wanamtania saaana
What a rich insight.Na kweli wengi wetu ni ndivyo sivyo.
 
Watoto wanaolelewa na bibi zao wengi wanakuwa ndivyo sivyo. Mimi mama yangu alikuwa very strict lakini leo hii amezeeka sithubutu kumpa mwanangu alee kwani bibi ni bibi; wajukuu wanamtania saaana
Mkuu is it a Choice ambayo mtu anachukua..???, nadhani hapa tunafanya kosa la kuweka mambo kwa ujumla Mzazi kama mzazi anaona ni wapi mwanae huenda akapata malezi bora; kwahiyo mzazi anaona ni wapi mwanae atapata malezi bora kulingana na yeye alipo na circumstances (tusiseme kwamba ni sababu ya uzembe au kuepuka responsibilities)

Si kweli kwamba wote waliolelewa na bibi zao wanadeka..., mlezi ni mlezi na pale mzazi anapoomba msaada ni kwamba amezidiwa... (Sidhani kama kuna mama ambae hapendi kukaa na mwanae.., unless ana matatizo)
 
RR,....umeleta 'unyuzi' mzuri sana. Unyuzi huu unagusa wengi kwa namna moja au nyingineo.
Hapa pia kunahusisha watoto ambao tangu wangali tumboni wazazi wao kwa namna moja au nyingine
walikosa kufikia muafaka wa mimba na mtoto atapozaliwa.

Kuna incidences ambazo mtoto alikoseshwa haki zake na kuja kutambulishwa kwa baba yake siku ya msiba
yaani mwana analetwa kuja kutoa last respect tu kwenye jeneza la baba yake. Bahati mbaya, hili halichagui umri,
kuna wengine wanaletwa wangali wadogo, kuna wengine wanaletwa wakiwa kwenye teen age..
.

Ni mada nzuri sana na itatufundisha mengi tukiichukulia seriously.

Mbu...............yaani laiti tungejaaliwa angalau siku hiyo tuingie ndani ya mioyo na mawazo ya watoto wa aina hii hakika tungejuta. Hii ni dhuluma ya aina ya juu sana na nafikiri ni uthibitisho wa kutojali interest za mtoto anakosemea RR. Kwa mtoto wa hivi mwenye utambuzi yakinifu anaweza akajikuta anatengeneza chuki kwa mzazi wake milele.............mara nyingi huwa tunaambiwa eti ukijigundua kuwa umefichwa habari za mzazi wako mmoja usiulize sana kama unaona kuna dalili za reluctance............eti huwezijua waliachanaje...............mh mimi najiulizaga maugomvi yenu, machuki yenu na visasi vyenu, what do they have to do with me kama mtoto?! hayanihusu! wala hayamuhusu mtoto yoyote yule, haki ya mtoto ni haki yake

Ningependna wazazi tulitambue hili kwa sababu hatuwezijua tunawaumizaje watoto wetu unless uwe umepitia the same route.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom