Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kwa kusajili watoto kwa majina ya Ukoo wako?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kuwa huyu simjui na simfahamu na sina mtoto.

Unashindwa nini kumroga na kumpeleka kaburini haraka sana kibwengo msumbufu asiye na faida na mleta sumu kwenye maisha yako?

Ebu imagine single mother umezaa mtoto wa kichakani baba yake amekataa mimba hadi mtoto, unashindwa nini kukausha na kumsajili mtoto kwa ubini wa baba Yako au mama yako, unashindwa nini hasa kufunga milango ya ibilisi mdundiko mwenye mawimbi ya popobawa.

Single Mother yeyote ambae amezaa mtoto nje na huyo mtoto hajulikani familia ya mwanaume na kwenu. Jiandae kwa ushindi wa vita yoyote ile ikiwemo uchawi tena uchawi wa kuua baba mzazi wa vichakani kama analeta ugomvi.

Mkiendekeza uroho na urafi mtaishia shimo lisilo na huruma unakosa vyote, single mother usiolewe na baba wa kufikia usiempenda kwa moyo wako wote.

Mtaka vyote hukosa vyote. Mama ananyang'anywa mtoto ambae umeteseka nae mwenyewe na baba wa vichakani ambae hajawahi kuwa mume wala kuwa mtu wa maana kwenu.

Hii ni laana kwa single mother tulidhani kiimani ni baraka kuwasitiri single mothers kumbe ni mikosi kwa wanaume wenye huruma kwenu.

Single Mothers acheni akili matope kidume wa vichakani alokutesa akizingua peleka kaburini mbwa wa aina hio.

Ustawi wa jamii na Mahakama havina msaada wowote hizo ni taasisi za kichawi.

Dadeki mtaendelea kuumia nyie ngedere hadi kiama nyie endekezeni usaliti.

Tukutane kwenye comments

Sina imani tena na single mothers.

Mkuu nini kimekupata? 😳🤔
 
Ebu soma uzi wako huenda wew mwenyewe usiuelewe.

Na walio elewa tunaomba mtueleweshe huyu jamaa anataka kusema nini?
 
Mwenyewe Sijaelewa! Yaelekea watakaoelewa huu Uzi itakuwa ni haohao single mothers aliowataja mweka mada!.. sisi akina baba tusubiri kurogwa tu kama mweka mada alivyoeleza...
Tutakuwa tayari tumeshalogwa ndio maana hata kuelewa imekuwa taabu.
 
Nyie ndo huwa mnashawishi wanawake tulio wazalisha,waue watoto wetu ili eti muanze upya na utampenda saana.
 
Back
Top Bottom