zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
- Thread starter
- #61
Nina threads humu nilianzisha nikizungumzia maana ya Daresalaam
i wonder kama umewahi zisoma
Sikumbuki kama nimezisoma au la, tuwekee link kwa faida ya wengi. Maana mada kuu hapa ni Watanzania na Ubaguzi wa Ujinga. Everything goes. Tukimnyima mtu fursa ya kufunguka tutakuwa ndio wale wale tunaowaongelea.