zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
- Thread starter
- #81
Nipo ndani ya mada yako hii ya ubaguzi wa kidini. Umewalaumu Wakristo na Kanisa katoliki kuwa hawakushiriki kwenye vita vya maji maji lkn hakuna sehemu uliyokanusha kuwa Water Water Ideology ni uongo. Umethibitisha kuwa umeona makopo ya kutawadhia yaliyotumiwa na waislamu kabla ya kuingia vitani. Kwako wewe hii ndio Historia ya kweli, sasa swali langu ni hili;
"Kuna sababu gani ya kuwalaumu Wakristo kutoshiriki kwao kwenye vita iliyobase kwenye ideology kama ile ya Kuran ya Mbagala?"
Unaweza kuweka nukuu ya hayo na namba ya post nilipoyaandika hayo? Nakuhakikishia huna.
Unajidhihirisha kinaga ubaga kuwa u kati ya wale Watanzania wenye zaidi ya Ubaguzi wa Ujinga.