<br />Unatumia windows gani nikupe maelekezo bila hata ya kufunga hizo pgm
tayari nimesha download ulivyoniambia.je,nini kinafuata??msaada tafadhari.u can try this partition wizard au partition 6 lakini unabidi udownload utorrent kwanza maana ni torrent file, ila iko poa sana!
tayari nimesha download ulivyoniambia.je,nini kinafuata??msaada tafadhari.
<br /><br />install uliyodownload, kama itataka ku restart sawa baada ya hapo ifungue iyo program maelezo yanayofuata yanajieleza baada ya kuifungua...!!
Jamani naomba kuuliza!Nina desk top yangu inaukubwa wa 120gb.Haina partition.Je naweza kufanya partition bila kupoteza data zangu nilizonazo kwenye hiyo HDD?
inawezekana mkuu...tafuta kitu inaitwa partition manager( vizuri ukiitafuta kwenye torrents sites manake utaipata na key zake ikiwa trial huwezi fanya kitu) ukipata hiyo install than maelezo yote yapo wazi!