Hii ndio ndoto yangu kwenye maisha natamani siku moja niitimize

HSE Officer

JF-Expert Member
Apr 10, 2023
651
844
Habar wana Jf
Kwa kipindi kirefu huwa naiwaza sana hii ndoto yangu na jinsi gani nitaweza kuifikia

Niende moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda.

Mimi ni kijana wa kitanzania nina Bachelor degree ya Environmental Health Science na nimesajiriwa na baraza la maafisa Afya Tanzania

Baada ya kumaliza chuo nikasoma course mbali mbali ikiwemo National Occupational Health and Safety Course 1 and 2 , pia nimehudhuria Training mbalimbali.

Nimefanya kazi kwenye kampuni mbali mbali kama HSE OFFICER, QSHE Officer , HSE coordinator.

Sasa hivi nafanya kazi kama HSE OFFICER kwenye kampuni binafsi

Ndoto yangu natamani niwe consultant yaani HSE CONSULTANT kwenye masuala ya safety kwa ujumla yaani niwe natambulika Tanzania nzima ikiwezekana Duniani .

Naomba niulize kwenu je naweza kufanikisha hii ndoto yangu ilihali sina hela

Je nawezaje kutimiza ndoto yangu wana jukwaa

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Hii ulisoma chuo gani mkuu hiyo short course
 
Mungu akusaidie
 
Back
Top Bottom