Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 50
basi elimu ya juu alisoma Makamba................umefurahi sasa?
Makamba kaingiaje tena kwenye hii topic, acha kuvuta bangi chooni zitakupoteza kijana
basi elimu ya juu alisoma Makamba................umefurahi sasa?
thickhead...if you knew the meaning, you wouldn't have said that, LMAO what more proof can one ask for!? :ban:
I know the meaning of thickhead,its not an insult to me,its simply an opinion about someone.......am glad that insult came from human being that is a living proof that human beings can live without a brain,makes me happy.I do not blame you,you did not wish to be born that way.it happened!am blessed to be a thickhead,and now that i know, i will try to improve but as for you and at that age,even a brain transplant would reject you....................lol:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Punguza ukali mama, watu wengine si wa kubishana nao, watakupotezea muda na kukupandisha hasira bure.
Sawa Mwita,simjibu tena.
Uchangie nini wakati huna la kuchangia? Hiyo ndio sababu toka 2006 umechangia ziro na bado unaweza kuona michango yako ni ziroSince 2006, I have only 359 posts. Sichangii kila upupu mkuu. Contrary to u.
TUNATAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TUME HURU
YA UCHAGUZI BUNGENI SASA HIVI!!!
Enyi Ndugu Waheshimiwa viongozi wetu
akina Kikwete, Dr Slaa, Prof Lipumba, Mbowe, Julius Mtatiro, Zitto Kabwe, Mbatia, Dr Mvungi, Prof Baregu, Prof Mukandala, Dr Bana, Dr Azaveli, Mama Nkya, Ndg Mgaya, Makwaia wa Kuhenga, Jenerali Ulimwengu, Reginald Mengi, Pius Msekwa, Fredrick Sumaye Fredrick Msuya, John Malecela, Mama Anna Makinda, Sheik Issa Bin Simba, Mhe Iddi Simba, Maaskofu na Wachungaji wote nchini, Denis Mwamnyange, Said Mwema, The Othma's, Tundu Lissu, Sitta, Mwakyembe, Mzee Mkapa, Mzee Salim Ahmed Salim, Mzee Sinde Warioba, Mzee Butiku, Prof Sarungi, Selasini, Ole Sendeka, Tido Mhando, Mama Maria Nyerere, Mama Karume, Selelii, Prof Bangu, Dr Matumaini, Bashe, Celina Kombani, Kafulila, Hamad Rashid, Regia, Lukuvi, Mama Maghimbi,Mama Anna Abdala, Pombe Magufuli, Mstaarabu wa Siasa Tanzania - Dr Mohammed Shein, Salmin Amour, Godbless Lema, Mzee Mwanakijiji, Maxence Melo, Candid Scope, Fareed, Mwakalebela, Mnyika, Halima Mdee, viongozi wote wa serikali za wanafunzi vyuoni ... na wengine wengi wengi wengi tu, sisi kama vijana wa nchi hii sasa hivi tunawaulizeni nyote kwa pamoja kwamba ...
... suala letu la michakato wa kujiandikia KATIBA MPYA na kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ZINAANZA LINI BUNGENI???
WanaJF,
Hapa ni mahali pa kuelimishana na kupeana taarifa.
Mimi binafsi nimjuavyo Mh. Lema ni Mbunge ambaye ameamua kwamba acha mbaya iwe mbaya as long as matakwa ya wanchi yanatekelezwa. Mwanzoni nilikuwa nabishana na Lema. Nilipinga sana approach yake ya ugomvi na ukorofi. Baadae nikagundua kwamba 'bila ugomvi na ukorofi' CCM haisikii. Lema amelijua hilo na sasa hivi amedhamiria kuleta mabadiliko kwa kujitoa sadaka.
Wapo wanaodhani kwamba lema hana elimu, hapa suala sio elimu. Suala ni kujitoa na kupambana na udhalimu. Machoni kwa wananchi baadhi ya wananchi wanataka waonekane wema lakini ndani ya mioyo yao wamedhamiria kututeketeza. Lema ameamua kuvaa mabomu na kulipuka nayo.
Ni vyema tukaenda mbali kidogo na kujaribu kumuelewa Lema anasimamia nini, anatengeneza njia gani. Kuna baadhi ya watu (wengine ni CDM) wanaona Lema hajakua. Wanakosea. Huu ni wakati wa mapambano. Lema ameamua kupambana kwa niaba ya wengi wetu.
Ni muda wake. Ni wakati wake. Tumpe muda pia tumsaidie kufikia malengo.
Lema, Mbowe, Ndesa, Slaa, na wengine wanajua wakiwa na madaraka katika nchi biashara zao ziko salama zaidi. Usitegemee kupata msaada kutoka kwao. Watatutumia kwa manufaa yao tu. Tunisia wamemtoa rais bado wanasema shida zipo palepale. African we are finished. Why western countries are supporting opposition parties? Kuna kitu wanakikosa kwa watawala wa zamani. They want new system to rule Africa politicaly, economicaly and mind.
Lema, Mbowe, Ndesa, Slaa, na wengine wanajua wakiwa na madaraka katika nchi biashara zao ziko salama zaidi. Usitegemee kupata msaada kutoka kwao. Watatutumia kwa manufaa yao tu. Tunisia wamemtoa rais bado wanasema shida zipo palepale. African we are finished. Why western countries are supporting opposition parties? Kuna kitu wanakikosa kwa watawala wa zamani. They want new system to rule Africa politicaly, economicaly and mind.