Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.

Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.

Deni ni shilingi ngapi mbona hasemi mbona hasemi kuwa Samia kamlipia na akakubaliwa kuja

USSR
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.

Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
Yule mmasai naibu waziri wa afya alifika bei kipindi hicho.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.

Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
Ulaaniwe bashiru na uzao wako. Uchu aliokuwa nao wa madaraka, huyu aangaliwe anaweza fanya ya Idd Amin!

Similar Discussions

Back
Top Bottom