Godbless Lema: Mzee Kinana ukimsikiliza kwa makini Sana utagundua hakubaliani na Mkataba wa Bandari

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema ukimsikiliza kwa makini Sana mzee Kinana utagundua Ujumbe wake haukuwalenga Wananchi na kwamba kimsingi Hakubaliani na Mkataba wa Bandari

Lema anasema kupitia twitter kwamba mzee Kinana ameongea kwa Utulivu na Maarifa makubwa

Jumaa kareem 😀
 
Katika watu Lema anawakubali CCCM, kinanas ni namba 2 au 3.

Ni majirani, watoto wa Mzee yule wamekua pamoja, hutembeleana, hata biashara zao baadhi ktk sekta ya utalii zinarandana.

Anyway,

Naweza Sema, Ilani ya Uchaguzi 2020, haikuruhusu uuzwaji wa Bandari!!!

Tusubiri.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema ukimsikiliza kwa makini Sana mzee Kinana utagundua Ujumbe wake haukuwalenga Wananchi na kwamba kimsingi Hakubaliani na Mkataba wa Bandari

Lema anasema kupitia twitter kwamba mzee Kinana ameongea kwa Utulivu na Maarifa makubwa

Jumaa kareem 😀
Lema hajuwi vizuri Kiswahili.
 
Huyo ni strategist w CCM ila nae ni money monger anaweza akakupiga huku umekenua
 
Back
Top Bottom