Paulo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 350
- 66
Amani iwe kwenu Great thinkers
Kwa kweli wote tumeona ushujaa uliooneshwa na Mbunge wa Chadema Arusha mjini katika kudai uchaguzi huru wa meya na naibu wake.
Katika harakati hizo ilipelekea yeye kupigwa kionevu na polisi hadi kulazwa hospitali. Still hakukata tamaa, na akaanda maandamano makubwa ya kudai haki hiyo ambapo polisi walimkamata pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA huku wakimwaga damu za watu wasiokua na hatia.
Hili limetikisa nchi na tunaamini lazima uchaguzi urudiwe. Hivyo basi kwa kutambua mchango wa GODBLESS LEMA, tunaomba yeyete mweye kujua background yake atujuze hapa jamvini.