Wasifu wa Godbless Lema (MP)

Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.

Tapeli ****** yako!
Hata kama una chuki naye huwezi mfananisha hivyo, huna mamlaka ya kututukana sisi wana Arusha tuliomchagua awe Mbunge wetu. Sisi ndio tunaomjua Lema siyo wewe uliyejaa udini mpaka kwenye haja.
Inaonyesha wewe kwa namna moja ama nyingine umehusika kuwaua raia wasio na silaha.
NYAAAMBAFF!!!!
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.

Sometimes we need to be serious,coz mtu akiuliza swali ina maana anahitaji kujua ukweli na sio crap.
 
Niliposoma post ya Selemani niliona kama crap flani hivi ....ila Michelle alipoiunga mkono basi mi nikawa sina shaka na hiyo post. ila nayo ni sehemu ya wasifu na nimfano wa kuigwa kwa vijana kuwa unaweza kubadilika kutoka maisha flani kwenda maisha mengine. Hata obama wakati wa kampeni zake alikiri kuwahi kuvuta bangi ila akaweza kuacha na kujikita kwenye masomo na kufanikiwa kudahiliwa Havard. So The guy is still a god example for youths who have found themselves in the midst of peer pressure to do immoral things.......

Ni kweli unajua kuna mambo mengine unapitia kama kijana kwenye maisha(Si kama na-justify) kwenye kutafuta maisha,na unapokuwa na deal kama za madini una deal na watu tofauti sana na pia baada ya kugombea kupitia TLP watu wakaona nguvu yake ambapo pia inasadikiwa alishinda,basi watu wakawa wanamwekea mitego ya kiaina ili aharibu image yake but deep down he is just a guy aliyekuwa anatafuta maisha kwenye mazingira yenye utapeli ndo maana ni rahisi sana watu kumuona naye tapeli.But kitu kikubwa kwa Lema anaielewa Arusha na matatizo yake,na ana uchungu sana....na kama mlimsikiliza kipindi cha uchaguzi kwenye TBC alieleza vyema kwanini anagombea na nini anataka kufanya na akasisitiza umuhimu wa kubadili attitude akijua wazi anaomba uongozi jimbo ambalo vijana wengi wanaamini kwenye utapeli na mambo kama hayo.
 
...na kama mlimsikiliza kipindi cha uchaguzi kwenye TBC alieleza vyema kwanini anagombea na nini anataka kufanya na akasisitiza umuhimu wa kubadili attitude akijua wazi anaomba uongozi jimbo ambalo vijana wengi wanaamini kwenye utapeli na mambo kama hayo.
Vizuri kujua hilo..
 
Vizuri kujua hilo..

Najua imechukuliwa kisiasa lakini ukweli ni kuwa serikali haijawasaidia vijana wa Arusha kuwa tofauti,hawana utaratibu mzuri wa kuuza madini yao,wanadhulumiwa na hawalipwi huko wanakofanya kazi,wengi wao pia hawana ajira na mbaya zaidi kuna kazi kama za tours sasa hivi zimeingiliwa na Wakenya na ndo maana wamefika point ya kukata tamaa,Arusha ni mji wa kitalii maisha ni magumu,mazingira ya kufanya biashara pia ni magumu na vitu ni ghali sana.......Serikali ya Chama cha Mapinduzi inapaswa kuangalia sana suala la Arusha na kwa kushirikiana na Lema anayeelewa undani wa maisha ya vijana.....kufanya siasa na kutumia nguvu haviwezi kubadili tabia ya watu wenye njaa.....gap kati ya maskini na tajiri ni kubwa sana Arusha kuliko sehemu yeyote ya nchi hii,its a point of no return,wanasema bora kufa kwa ajili ya nchi yao kuliko kuishi maisha marefu watu wachache wakifaidi mali asili na opportunities zinazopatikana nchini...........mi sishangai watu wa Dar kutofautiana na wa Arusha na kushangaa kwa nini hawa vijana ni wakali hivyo,ni ugumu wa maisha.....
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.

Umekosea sana we mkaka, maana huyu ni kaka yangu wa damu, na kwa taarifa yako ni mpambanaji humuwezi acha kabisa Kashfa zako.

Amezaliwa machame Nronga. Na hili jina Lema sio la hivihivi. Ni watu wanaojua wanachotaka na wanakokwenda. Sio Bendera fuata upepo. Google search hilo jina LEMA usome wasifu wao ndio utaelewa!!!

Ndio maana mnapeleka nchi mrama maana manaongea tu bila kufikiri. na Hamshauriki. Huu mwaka wenu sisem
 
godbless lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana arusha.
exactly,,,tena ni mchaga kama mbowe
 
Najua imechukuliwa kisiasa lakini ukweli ni kuwa serikali haijawasaidia vijana wa Arusha kuwa tofauti,hawana utaratibu mzuri wa kuuza madini yao,wanadhulumiwa na hawalipwi huko wanakofanya kazi,wengi wao pia hawana ajira na mbaya zaidi kuna kazi kama za tours sasa hivi zimeingiliwa na Wakenya na ndo maana wamefika point ya kukata tamaa,Arusha ni mji wa kitalii maisha ni magumu,mazingira ya kufanya biashara pia ni magumu na vitu ni ghali sana.......Serikali ya Chama cha Mapinduzi inapaswa kuangalia sana suala la Arusha na kwa kushirikiana na Lema anayeelewa undani wa maisha ya vijana.....kufanya siasa na kutumia nguvu haviwezi kubadili tabia ya watu wenye njaa.....gap kati ya maskini na tajiri ni kubwa sana Arusha kuliko sehemu yeyote ya nchi hii,its a point of no return,wanasema bora kufa kwa ajili ya nchi yao kuliko kuishi maisha marefu watu wachache wakifaidi mali asili na opportunities zinazopatikana nchini...........mi sishangai watu wa Dar kutofautiana na wa Arusha na kushangaa kwa nini hawa vijana ni wakali hivyo,ni ugumu wa maisha.....

Nakubaliana na wewe Michelle, kwa kuongeza hata ukisikiliza nyimbo za vijana wa kizazi kipya (Hip Hop/ Rap/ Reggae) wenye makazi yao Arusha mistari yao siyo ya ki-'bling-bling' kama vijana wa Dar-es-Salaam, Machalii wa Arusha nyimbo zao ni kukosoa maovu ktk jamii, kushutumu wanaotumia madaraka vibaya kama SISIEM.

Hivyo sishangai kuona machalii baada ya kipindi cha 'kuimba' sasa 'wanafanya vitu kwa matendo' kama kuchagua chama makini CHADEMA, kuandamana bila hofu na hatimaye kuilazimisha serikali kusalimu amri kwa polisi kutotokea ktk mazishi ya mashujaa wanaotaka kuleta mabadiliko ya kweli kwa Mtanzania. Saa ya Ukomboziwa Kweli Imetimia.
.
 
Najua imechukuliwa kisiasa lakini ukweli ni kuwa serikali haijawasaidia vijana wa Arusha kuwa tofauti,hawana utaratibu mzuri wa kuuza madini yao,wanadhulumiwa na hawalipwi huko wanakofanya kazi,wengi wao pia hawana ajira na mbaya zaidi kuna kazi kama za tours sasa hivi zimeingiliwa na Wakenya na ndo maana wamefika point ya kukata tamaa,Arusha ni mji wa kitalii maisha ni magumu,mazingira ya kufanya biashara pia ni magumu na vitu ni ghali sana.......Serikali ya Chama cha Mapinduzi inapaswa kuangalia sana suala la Arusha na kwa kushirikiana na Lema anayeelewa undani wa maisha ya vijana.....kufanya siasa na kutumia nguvu haviwezi kubadili tabia ya watu wenye njaa.....gap kati ya maskini na tajiri ni kubwa sana Arusha kuliko sehemu yeyote ya nchi hii,its a point of no return,wanasema bora kufa kwa ajili ya nchi yao kuliko kuishi maisha marefu watu wachache wakifaidi mali asili na opportunities zinazopatikana nchini...........mi sishangai watu wa Dar kutofautiana na wa Arusha na kushangaa kwa nini hawa vijana ni wakali hivyo,ni ugumu wa maisha.....
Kwa kuwa anajua matatizo ya vijana wengi mkoani humo na yeye binafsi ameshawahi kuwa katika kadhia hiyo, hapana shaka atatumia muda wake wa ubunge kutatua matatizo hayo. Badala ya kupoteza muda kwa shughuli ambazo hazina tija kwa wapiga kura wake!
 
Kwhiyo Bunge 'tukufu' la Tanzania lina stahili kuwa na uwakilishi wa MATAPELI? lol Democracy is interesting...
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.
Inaonekana hakimu alikuwa bro chapombe nini?
 
pole mtoa mada kama nia yako ilikuwa kumchafua nitakupa mfano wa jimbo moja mgombea wa ccm anaejiita msomi mwenye digree aligombea na muuza kuku wananchi pamoja na wasomi walimchagua muuza kuku wakachakachua msomi akamzidi muuza kuku sokoni kura moja.jimbo liliokolewa kwa gharama za kuchoma kura kupoteza ushahidi kifupi hichi kinawakera sana wananchi ndio asili ya maandamano ya kudai haki.mabadiliko ni lazima wapende wasipende.leo hii tumeona wananchi wa mbarari wakihoji kwa nini lori la mafuta linaruhusiwa kupita wakati wao wanazuiwa kupitisha malori ya kubeba mazao yao.hao wasomi na wanaodaiwa ni safi wamefanyia wananchi nini zaidi ya kuwaibia?
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.
Si kila post lazima uchangie.
 
Ameishia form four na alikua dalali wa mazao ya nafaka sokoni arusha mjini na badae mbunge wa arusha mjini kupitia chadema! Anafaa kibongobongo

hata angekuwa kijana wa mtaan,Lema ni mwanaume wa kweli,shujaa wa 2011,dume la uhakika asiye na ubabaishaj ktk kutetea maslai ya wananchi wake.uwezo na dhamira yake ndio mwanzo wa arusha mpya tunayoisubiria.Mungu na amlinde na kumtia nguvu, AMEN.
 
InshaAllah. Tusubiri tuone. Its nice that you are so hopeful. It is inspiring aisee.
 
Ameishia form four na alikua dalali wa mazao ya nafaka sokoni arusha mjini na badae mbunge wa arusha mjini kupitia chadema! Anafaa kibongobongo

Kwa sisi wengine wenye uelewa mdogo, ningeomba kwa manufaa ya wengi utujuze sifa ya kuwa mbunge wa bunge la Tanzania inatakiwa uwe na kiwango gani cha elimu? maana sisi wengine hatuna kipaji cha kuropoka ropoka kama katibu mkuu wa ccm Makamba. Pili anaejuwa University aliyosoma Rais Jacob Zuma naye atujuze tupate kuelimika, na ningependa kufahamishwa hivi huyu Bill gates ana elimu gani? ni PHD? PROFESA? AU?.
kuna mtu mmoja hapa kwetu ana degree ya uchumi, lakini hebu angalia hapo chini madudu yake.

View attachment 20316

Ni kweli unajua kuna mambo mengine unapitia kama kijana kwenye maisha(Si kama na-justify) kwenye kutafuta maisha,na unapokuwa na deal kama za madini una deal na watu tofauti sana na pia baada ya kugombea kupitia TLP watu wakaona nguvu yake ambapo pia inasadikiwa alishinda,basi watu wakawa wanamwekea mitego ya kiaina ili aharibu image yake but deep down he is just a guy aliyekuwa anatafuta maisha kwenye mazingira yenye utapeli ndo maana ni rahisi sana watu kumuona naye tapeli.But kitu kikubwa kwa Lema anaielewa Arusha na matatizo yake,na ana uchungu sana....na kama mlimsikiliza kipindi cha uchaguzi kwenye TBC alieleza vyema kwanini anagombea na nini anataka kufanya na akasisitiza umuhimu wa kubadili attitude akijua wazi anaomba uongozi jimbo ambalo vijana wengi wanaamini kwenye utapeli na mambo kama hayo.

Michelle kwa kusafisha majina ya "wanyumbani" kwa kweli nakukubali....Huyu jamaa angekuwa wa kwengine sidhani kama kungelika hapa na CV yake ya ubabaishaji Bin ujanjaujanja....
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. ...........

Acha roho ya kwanini. Ndio maana kuna watu hawataendelea maishani mwao kwa kufocus on the negative side of life.
 
Back
Top Bottom