Elections 2010 Wasanii Nyota wa Bongo Flava wachangia CCM

Selemani kasema

Majority of folks here are more Anti-CCM than Pro-Maendeleo. Which doesn't make any sense.

Halafu response ya JMushi ni

Una maanisha pro ccm equals pro maendeleo?
Hapo kwenye kuhusu uamuzi wa wasanii hao,lazima mjue hao si wananchi "wa kawaida"

A little comprehension is dangerous indeed!
 
Moja; Msanii ni mwananchi wa kawaida na ana haki ya kupigia debe chama chochote anachokitaka. Just like Jay-Z and Luda campaigned for Barack.

Pili; There is a reality detachment between wabongo WENGI wa jambo forum na wabongo tulioko bongo. You guys don't understand siasa za hapa as mbongo wa kawaida sees it.

Tatu; Majority of folks here are more Anti-CCM than Pro-Maendeleo. Which doesn't make any sense. You guys need to be rebels with causes, and not just anti-establishment.

Nne; Who stopped Upinzani from reaching out to watu mashuhuri hapa nyumbani ili waweze kuwanadi?[/QU
OTE]

Mtumeeeeeeeeeeee....
 
Hii ni elitist POV isiyo na mshiko hata kidogo kwa hali halisi ya kisiasa. Umri wa kupiga kura ni kuanzia miaka 18 na Bongofleva ina appeal kubwa sana kwa vijana wa rika 18 na kuendelea aka kizazi kipya ambao ni wengi kweli.

Hakika CCM hapa imefanya mauaji! Nadhani CUF watabakia na Mzee Yusuf na Dogo Mfaume wakati CHADEMA wataambulia Nakaaya Sumari na Wasanii wawili-watatu wa nyimbo za Injili.

Elitist or not, unategemea Juma Nature aje kuwa Lech Walesa wetu siyo? Kwa understanding gani, conviction gani, passion gani, experience gani aliyokuwa nayo? Hivi ushamsikiliza anavyoongea mavi - literaly anaongea kuhusu kunya na mavi kama si kitu vile- katika rekodi zake, I am not talking figuratively.

Mbona watu kama Juma Nature (katika wimbo wa "CCM na CUF") walishajionyesha kuwa pro CCM kitambo. Mbona Mwanafalsafa alishajionyesha kuwa pro-CCM kitambo, mbona Jay amekuwa surrounded na watu wa CCM kitambo?

Wakialikwa Ikulu kupiga picha na Kikwete tu, na ahadi mbili tatu za hakimiliki, ambazo hazitekelezeki by the way, CCM imemaliza kazi.

This is what happenned here.Sasa mimi kusema upinzani kuweka matumaini katika Bongofleva ni delusion unaona si sawa?
 
Elitist or not, unategemea Juma Nature aje kuwa Lech Walesa wetu siyo? Kwa understanding gani, conviction gani, passion gani, experience gani aliyokuwa nayo? Hivi ushamsikiliza anavyoongea mavi - literaly anaongea kuhusu kunya na mavi kama si kitu vile- katika rekodi zake, I am not talking figuratively.

Akialikwa Ikulu kupiga picha na Kikwete tu, na ahadi mbili tatu za hakimiliki, ambazo hazitekelezeki by the way, CCM imemaliza kazi.

This is what happenned here.Sasa mimi kusema upinzani kuweka matumaini katika Bongofleva ni delusion unaona si sawa?

Hapo CCM ishasomba kura kibao utadhani wanazihitaji saana vile! Kalagabaho!
 
Selemani kasema

Halafu response ya JMushi ni

A little comprehension is dangerous indeed!

Kiranga no disrespect,watever you just said is irrelevant.....Mimi kama mshabiki wa Prof Jay, na wengineo,akaja kuniambia niichangie ccm,nina haki ya kumwita watever i want kama mimi siyo ccm,its called freedom of speach,wao wana nafasi zaidi ya kuilemisha jamii ama kusend ujumbe,na mimi kuwasema kuwa wamechemsha haina maana nawachagulia destiny,isipokuwa natumia haki yangu ku comment about their decisions since i am a fan!

Hata kina Jay Z nk,si kila mtu alifagilia yeye kumuendorse Obama,at the same time yule mpuerto rico anayejiita Dady Yankee(kuna mwingine anaitwa bulldog or smthin along those lines,)not exactly sure which one but endorsed John Mc Cain,lakini people talked a bunch of shit about it,i dont c eni difference on dis one.
 
Hapo CCM ishasomba kura kibao utadhani wanazihataji saana vile! Kalagabaho!

Of course ishasomba kura kibao, naturally kuna watu walio too inexperienced/ lazy/ young to think critically on their own.So they will look up to their idols and say if Jay, who is way cooler than me, is endorsing/ voting CCM perhaps CCM is the way to go despite all the fuss.

Point yangu ni kwamba, kama kuna watu walikuwa wanafikiri kwamba Bongofleva ni kitu cha kutegemewa kutoa dira madhubuti ya kisiasa, ku fight the power, kuwa not only anti-establishment but also pro progress, hawa watu ndio wanao ni disappoint kuliko Bongofleva yenyewe.

Ni kama ukamate mwanamke wa Ohio Street halafu utake kumfanya housewife, kesho keshokutwa akikufanyia visa visivyotajika na mwanamme mwingine ukishangaa, mimi sitamshangaa huyu mwanamke wa Ohio St, nitakushangaa wewe unayemshangaa.
 
Nionyeshe wapi nimesema huna haki ya kusema chochote kuhusu celebrity?

Hebu nionyeshe hicho kipande, ama sivyo omba radhi hapa kwa kuweka maneno mdomoni mwangu, na kwa kuwa na comprehension ya kichwapanzi.

Ulisema everyone has a right to decide his own destiny,na kwahiyo no need to say anything about their decisons,na ukadai solution ni ku boycott cd zao nk na si kuwa "group thinking",na mimi nikakwambia it is irrelevant,nina haki ya kusema chochote kuhusu hilo,sasa hayo ya kichwa panzi yanaonyesha una hasira sasa...issue hapa si destiny,ni wao kudai wapenzi wanaonunua muziki wao waichangie ccm.
 
Kiranga no disrespect,watever you said is irrelevant.....Mimi kama mshabiki wa Prof Jay, na wengineo,akaja kuniambia niichangie ccm,nina haki ya kumwita watever i want kama mimi siyo ccm,its called freedom of speach,wao wana nafasi zaidi ya kuilemisha jamii ama kusend ujumbe,na mimi kuwasema kuwa wamechemsha haina maana nawachagulia destiny,isipokuwa natumia haki yangu ku comment about their decisions since i am a fan!

Hata kina Jay Z nk,si kila mtu alifagilia yeye kumuendorse Obama,at the same time yule mpuerto rico anayejiita Dady Yankee(kuna mwingine anaitwa bulldog or smthin along those lines,)not exactly sure which one but endorsed John Mc Cain,lakini people talked a bunch of shit about it,i dont c eni difference on dis one.

There is a difference between a nuanced, detailed, well argued case and one in which you are going after someone simply because his/her choice is different from yours.

I have challenged you and gave you every opportunity to provide a detailed case why is it bad for Bongofleva stars to endorse CCM, so far you have not provided anything coherent, unabakia "mimi kama fan nina haki ya kutalk shyt about them".

Nikakwambia talk shyt as long as you are talking shyt, but as to presenting a well argued persuasive case, you totally failed. Umesema ufisadi nimekwambia kuna watu wanaamini the best party to fight ufisadi is CCM, kuna wengine hata hawaamini kwamba ufisadi ni mbaya hivyo na actually wanaamini ndiyo chance yao pekee ya kukimbia umasikini. Sasa njoo na arguments zenye uzito, si kumbalasa mtu kwa sababu ana endorse CCM.
 
Ulisema everyone has a right to decide his own destiny,na kwahiyo no need to say anything about their decisons,na ukadai solution ni ku boycott cd zao nk na si kuwa "group thinking",na mimi nikakwambia it is irrelevant,nina haki ya kusema chochote kuhusu hilo,sasa hayo ya kichwa panzi yanaonyesha una hasira sasa...issue hapa si destiny,ni wao kudai wapenzi wanaonunua muziki wao waichangie ccm.

Issue hapa siyo destiny?

You not only missed the dhow in your marooned islet, you missed the entire Monsoon season.
 
There is a difference between a nuanced, detailed, well argued case and one in which you are going after someone simply because his/her choice is different from yours.

I have challenged you and gave you every opportunity to provide a detailed case why is it bad for Bongofleva stars to endorse CCM, so far you have not provided anything coherent, unabakia "mimi kama fan nina haki ya kutalk shyt about them".

Nikakwambia talk shyt as long as you are talking shyt, but as to presenting a well argued persuasive case, you totally failed. Umesema ufisadi nimekwambia kuna watu wanaamini the best party to fight ufisadi is CCM, kuna wengine hata hawaamini kwamba ufisadi ni mbaya hivyo na actually wanaamini ndiyo chance yao pekee ya kukimbia umasikini. Sasa njoo na arguments zenye uzito, si kumbalasa mtu kwa sababu ana endorse CCM.

Kiranga,sijui ni wapi hatuelewani. Hakuna shida ya watu kuamua kusapoti chama chochote cha kisiasa, especially kama watu wenyewe ni kama sisi kina Jmushi.

However inapokuja kwa hao wasanii, hapo ndipo utofauti unajiyokeza kutokana na influence waliyo nayo kwenye jamii, and therefore wakijitokeza na kudai kuwa ccm ndiyo chama cha kupinga ufisadi, sisi ambao ni wapenzi wa muziki wao tunyamaze tuu?Ingekuwa ni wewe Kiranga mbona wala sina noma kama ni wale wanaopenda ufisadi ili watajirike, lakini wewe si Prof Jay mkuu wangu,kuna utofauti, na ndio maana kwa mimi ambaye i dont believe in ccm, i will say it is bad to them base on so and so factors,ie nilipomention ufisadi na kwamba watu wanaweza kususa mziki wao nk.

Na vile vile kuna nyie ambao mnaona ni sawa tu kutegemea na misimamo yenu...ie ufisadi hauna noma na kwamba ccm ndiyo itakayoweza kuufuta ufisadi.

Sasa kadri unavyoshangazwa kuhusu mimi,same thing with mi bout yu,and sidhani kama ni kosa mimi kuamini hawajafanya vyema,si kosa kwako kusema wamefanya vyema ama si kosa kwa wenye kuremain neutral nk
Sasa shida ikwapi?

Halafu hujui kitu inaitwa target market?Ujumbe huo ni kwa watu kama sisi wapenzi wa mziki wao,na hii ndo reaction yangu,sasa hapo hopefully utakuwa umeelewa kwanini nili introduce maneno "fan" na "celebrity"
 
Of course ishasomba kura kibao, naturally kuna watu walio too inexperienced/ lazy/ young to think critically on their own.So they will look up to their idols and say if Jay, who is way cooler than me, is endorsing/ voting CCM perhaps CCM is the way to go despite all the fuss.

Point yangu ni kwamba, kama kuna watu walikuwa wanafikiri kwamba Bongofleva ni kitu cha kutegemewa kutoa dira madhubuti ya kisiasa, ku fight the power, kuwa not only anti-establishment but also pro progress, hawa watu ndio wanao ni disappoint kuliko Bongofleva yenyewe.

Ni kama ukamate mwanamke wa Ohio Street halafu utake kumfanya housewife, kesho keshokutwa akikufanyia visa visivyotajika na mwanamme mwingine ukishangaa, mimi sitamshangaa huyu mwanamke wa Ohio St, nitakushangaa wewe unayemshangaa.

Hizi analysis zako nyingine ziko too abstract wakati mambo ya Bongo ni much simpler & down-to-earth. Wenzako wanatafuta kura hapo haya mambo ya "dira madhubuti" na "haki madhubuti" wapi na wapi bana?

Mtu wa miaka 18 hana muda wa kutafakari madudu kama hayo yeye anaona Juma Nature na TMK Family wamekwea Fuso mtaani kelele kibao na njano-kijani zao. That's all it takes. Game over!
 
Issue hapa siyo destiny?

You not only missed the dhow in your marooned islet, you missed the entire Monsoon season.

Unanikumbushia sana mtu flani mkuu sikufichi. Hao kina Profesa Jay ku endorse ccm na mimi kudhani si right ni kuwachagulia destination kivipi?

Destiny hai constitute a single factor,kuna mengi tu yanamsaidia mtu kufikia destination yake,certailny kwa wasanii si siasa peke yake,i can mentioned stuff about their statements actions but cant decide their destiny,nashangazwa hapa.
 
Huwezi kusema unaheshimu haki ya wenzako kuwa na mtazamo tofauti kisiasa, halafu wanapokuja na mtazamo tofauti unawasema vibaya kwa sababu wamekuja na mtazamo tofauti.This is a total contradiction.

Either huheshimu haki ya wengine kuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa, na ndiyo sababu unawabalasa hawa, au kama unaheshimu huwezi kuwabalasa on the sole basis of having a different political opinion.

Kwa sababu unawabalasa, I take it huheshimu haki ya watu wengine kuwa na msimamo tofauti kisiasa, despite your politically correct disposition which seems to lack conviction when examined deeply. Unasema unaheshimu uhuru wa kisiasa kwa sababu ukisema huheshimu utaonekana kuwa a dinousaric bullish monster running on an antiquated steam engine and completely out of touch with freedom of expression and political affiliation, maneno yako yanaonyesha hili.

I mean, I hate CCM too, but give me something to work with here. Give me something a bit more nuanced, a bit more interesting, a bit more detailed than the generalities of "CCM mafisadi".

Kuna wengine wanaamini CCM mafisadi na chama pekee chenye uwezo wa kumaliza ufisadi ni CCM, kwa maana ya kwamba vyama vingine vyote vya upinzani ni njaa kali kuliko CCM na kuchagua upinzani kutakuwa ni sawa na walichofanya Zambia kumtoa Kaunda na kumleta Chiluba, au Kenya kukitoa KANU na kumleta Kibaki. Unaona mchezo ulivyo complex hapo?

You should know better than that.

Cheki na higlights hapo juu plus my previous posts....Kina profesa Jay si "Watu wengine" Hopefully umeelewa!
 
Cheki na higlights hapo juu plus my previous posts....Kina profesa Jay si "Watu wengine" Hopefully umeelewa!

That is where you are wrong, kina Profesa Jay "si watu wengine" bali ni nani wale? Wana miguu mitatu? Wana passport nyeusi? Miungu watu? Elected officials? Your indentured servants?

What's next, utataka kuwalazimisha wapigie kura upinzani?

Unasound kama mtu aliyekuwa na demu, sasa demu kampiga kibuti, anakuwa yuko kwenye denial.

Get real, Bongofleva was nothing to begin with.If your reality entertained the thought of a coherent direction from Bongoflava I hate to officially burst your bubble.
 
That is where you are wrong, kina Profesa Jay "si watu wengine" bali ni nani wale?

Miungu watu? Elected officials? Your indentured servants?

What's next, utataka kuwalazimisha wapigie kura upinzani?

Siyo watu wengine kwasababu wana access ya media kuliko wewe,wao ni celebrities,hawana immune kama mimi na wewe,shangaa kwanini unaweza kum sue celebrity akikutukana lakini yeye hawezi kumsue mwananchi wa kawaida,nilishasema hapo nyuma,kama hakuna tofauti kati yako na kina Prof Jay kwanini wasingekuhitaji wewe?
Na hakuna pahala nime imply waupigie kura upinzani.

Btw fuatilia maana ya celebrity,politicians na hao wanamuziki wanaangukia hapo.
 
Either...or....to me u sound like one....

Ha ha ha!Yur very funi....Matter of fact i am a fan,dats why i am a little dissapointed,however that does not constitute mi tryn n decide dey destiny,wat do you think?The final decisions are theirs,but does it mean we arent allowed to say they were wrong?Just as you can say the're rgt or remain neutral?
 
Siyo watu wengine kwasababu wana access ya media kuliko wewe,wao ni celebrities,hawana immune kama mimi na wewe,shangaa kwanini unaweza kum sue celebrity akikutukana lakini yeye hawezi kumsue mwananchi wa kawaida,nilishasema hapo nyuma,kama hakuna tofauti kati yako na kina Prof Jay kwanini wasingekuhitaji wewe?
Na hakuna pahala nime imply waupigie kura upinzani.

In that case kila mtu si mtu mwingine kwa sababu kila mtu potentially ana access level tofauti na media. KAma hupendi point of view ya Prof Jay chukua mic uwe msanii na wewe basi, au fanya campaign na wasanii wenye point of view yako.

Lakini usikataze watu kujinafasi kwa mujibu wa maoni yao, tena openly hamna hata scandal ya transparency hapa.

Siyo mnaacha upinzani ukae bila strategy, halafu watu wa CCM wakiwafunga magoli kwa vitu vidogo kama hivi mnalalamika kama nyie hamkuwa na nafasi ya kuleta ushawishi kama huu.

Mimi nawashukuru "wasanii" hawa kwa kuondoa any doubt miongoni mwa watanzania kuhusu wapi wanasimama.
 
Ha ha ha!Yur very funi....Matter of fact i am a fan,dats why i am a little dissapointed,however that does not constitute mi tryn n decide dey destiny,wat do you think?The final decisions are theirs,but does it mean we arent allowed to say they were wrong?Just as you can say the're rgt or remain neutral?

Tell Felister a I have great sense of humor...I'll keep her cracking up 24/7....
 
Fundamentally, all Borg-like groupthink based ideas geared at regulating or intervening free political affiliations are bound to not only fail, they actually accelerate the very problems they profess to address.

Moreover, it is scary to think of a self proclaimed opposition movement -especially it's young guns- so steeped into groupthink, intolerance of different views, and really reverse totalitarian statism.
 
Back
Top Bottom