Elections 2010 Wasanii Nyota wa Bongo Flava wachangia CCM

Mimi naamini ya kuwa kila mtanzania ana haki ya kuamua ni chama kipi ajiunge nacho au chama gani akichangie. Kitu ambacho ningependa kujua kutoka kwa hawa wasanii ni kwa nini wanaichangia CCM? Zaidi, ni kitu haswa kilichowavutia kutoka kwenye utwala wa CCM ?
 
Kama wamechangia wao ni haki yao. Mi sichangi Ng'o. Na hakuna relative wangu atachanga maana nimeshawapa semina wote wailewe sisi M kuwa ni mbovu tu. Inaendeleza game ya kuwamaliza.

Sana sana wataibuka na pesa ya kodi zetu kisha waseme walichangiwa. Hata hivyo hatuchelewi kuwakamata. Tutajua tu ukweli wa kila kitu.
 
Mimi naamini ya kuwa kila mtanzania ana haki ya kuamua ni chama kipi ajiunge nacho au chama gani akichangie. Kitu ambacho ningependa kujua kutoka kwa hawa wasanii ni kwa nini wanaichangia CCM? Zaidi, ni kitu haswa kilichowavutia kutoka kwenye utwala wa CCM ?

Sasa hili ni swali murua kabisa Rufiji. Kwa kweli hata mimi sijui, lakini mkuu Mkandara amesema hapo juu kwamba CCM ina sera maridadi kuhusu hakimiliki, kitu ambacho kipo karibu kabisa na mioyo ya wasanii hawa.

Na sijawahi kuisikia sera ya chama kingine chochote kuhusu hakimiliki.

Hii ni theory moja tu, of course kunaweza kuwa na mengine mengi tu.
 
Kiranga ,

Ni kweli kwamba Kikwete aliwaahidi hiyo sheria ya hati miliki , lakini kitu kingine ambacho ningewauliza ni kuwa Kikwete has been in power for almost five years now, kama alishindwa kuipitisha hiyo sheria katika miaka mitano kwa nini wanadhani ataipitisha katika miaka mitano ijayo ?
 
Hawa vijana wamerubuniwa, na sababu kubwa ni kuwa wana mtazamo finyu hasa wa kupata short term benefits. Wangekuwa wanajifunza wangealia wenzao waliokuwa mstari wa mbele 2005 Kama kina Bushoke hivi sasa wapo wapi? baada ya uchaguzi CCM iliwafanyia nini?. Kuna neno ashakum hutumika kabla ya kusema neno zito. Ashakum "Hawa vijana wanatumiwa kama CONDOM baada ya tendo hutupwa" - Ukweli ni kwamba, hawa vijana wengi wamejijengea majina na kubeba mashabiki katika jamii yetu ambao wengi wa mashabiki hao si wafuasi sana wa CCM.

Unapokubali kutumiwa nyota yako na mtu ambaye baada ya kufanikisha anachikitaka (Kwa chama cha siasa ni kurubuni wapiga kura wawachague) anakuwa hana haja na wewe tena mpaka atakapojisikia tena kufanya tendo hilo (after 5 years) ndiyo atafute wengine basi ujue wewe umefilisika kimawazo na kiupembuzi. Ask yourself why now?, where have you been in last five years?.

Nina uhakika kuwa wengi wa hawa watapungukiwa na mauzo ya albam zao na hata kujikuta wanachukiwa na wale watakaoipigia kura CCM na wasipate walichoahidiwa kama si kwa ushabiki wa hawa wasanii. Strategically kwa msanii makini anaweza kujihusisha kwenye ku-burudisha lakini awe huru kufanya hivyo kwa mtu yeyote atakaye muhitaji bila kuchukua central role ya UKADA.

ADUI MKUBWA WA CCM NI ELIMU, WANANCHI WAKIELIMIKA NA KUWA NA UWEZO WA KUPAMBANUA MAMBO HASA VIJIJINI CCM HAINA USHINDI WA KISHINDO.
 
In that case kila mtu si mtu mwingine kwa sababu kila mtu potentially ana access level tofauti na media. KAma hupendi point of view ya Prof Jay chukua mic uwe msanii na wewe basi, au fanya campaign na wasanii wenye point of view yako.

Lakini usikataze watu kujinafasi kwa mujibu wa maoni yao, tena openly hamna hata scandal ya transparency hapa.

Siyo mnaacha upinzani ukae bila strategy, halafu watu wa CCM wakiwafunga magoli kwa vitu vidogo kama hivi mnalalamika kama nyie hamkuwa na nafasi ya kuleta ushawishi kama huu.

Mimi nawashukuru "wasanii" hawa kwa kuondoa any doubt miongoni mwa watanzania kuhusu wapi wanasimama.

Hatuzungumzii potentila celebrities or artists,tunazungumzia waliopo,huwezi kwenda pale maelezo ukaitisha mkutano na waandishi wa habari,hauna status ya ucelebrity,you can say whatever you want,lakini watu walio na access na media ambao ni macelebrities,wao wako accountable to watever they say on the public arena.

Kama ingekuwa mimi na wewe tayari in that position of being famous,then it wouldve matter coz wananchi watajadili na tofauti zitatokea, kwa upnade wangu mimi na wewe,bado si macelebriies and so nobody is going to listen to us and we dont have followers,hope yu c da diff.
 
Kiranga ,

Ni kweli kwamba Kikwete aliwaahidi hiyo sheria ya hati miliki , lakini kitu kingine ambacho ningewauliza ni kuwa Kikwete has been in power for almost five years now, kama alishindwa kuipitisha hiyo sheria katika miaka mitano kwa nini wanadhani ataipitisha katika miaka mitano ijayo ?

Wanaweza kukwambia administration ilikuwa na priorities nyingine. Si kila kitu kinatekelezeka katika miaka mitano. Wanaweza kukwambia muswada umepelekwa katika gazeti la serikali lakini unahitaji mabadiliko or some bs like that.

Inawezekana wao kuwa karibu tu na wakubwa (kujikomba) ni deal tosha kufanikisha mambo yao, regardless ya hili la hakimiliki.

Hii ni biashara ya matapeli wawili kupatana, anayeuza dhahabu feki anapewa noti feki, kama alivyosema J. Wasanii wanakuwa promised hakimiliki feki, na CCM wanakuwa promised an empty victory.

At least CCM wanapalilia ushindi, upinzani sijui hata wanafanya nini.
 
Wakati hawa wanakuja kihivyo yuko huyu ROMA anakuja kihivi;
https://www.jamiiforums.com/habari-...lava-wanajitahidi-hebu-check-hizi-lyrics.html
Na hapa Kiranga anataka kuji-hang kabisa!

Kiranga ana speak from the grave, sasa sijui ata ji hang vipi.

Hizi infatuations na watu kama Roma ndizo zinakuja kutupa disappointment kesho na keshokutwa.Hawa watu wanatafuta jinsi ya "kutoka" kama alivyosema Mr Misosi.

Kwa hiyo kesho keshokutwa wakishatoka, jina kubwa, CCM ikiwaita na kuwaimbisha hawana hiyana, it is the natural next step, it is the next rung on the ladder.

Bila Jay kuwa critical kuhusu uongozi, kwa nyimbo kama "Ndiyo Mzee" asingekuwa maarufu, kama asingekuwa maarufu CCM isingemtaka katika kampeni zake.

Kwa hiyo formula ya Bongofleva ni hii.

Ukiwa unatoka, hamna mtu anayekujua, kuwa anti-establishment, kandya CCM na siasa za bongo.Utapata mashabiki kibao na kujenga jina.

Ukishapata mashabiki kibao na kujenga jina, utapata dealz kibao, concerts kibao, na influence kibao.Ukishakuwa na influence mpaka watu wa CCM watakufuata.Wakikufuata unawatajia kidau chako kizuri, unacheka.

It is all business.

Sasa kuna watu wanawachukulia hawa watu very seriously, kama vile wana moooyo na hayo wanayoyasema.

Watu tumewafuatilia kina Buju Banton, ma Rastafarians walioprofess Jah Rastafari, na kukandya coke left right and center, lakini leo Buju ana kesi ya coke, they got him on tape Miami huko ana-taste coke kuona kama inafaa akaiuze Jamaica.

There is a reason hawa watu wanaitwa "wasanii".
 
heli tumbo liwe njaa lakini si njaa kukaa kwenye ufahamu wa mtu. Mi najua ya kuwa CCM hutumia sana kuto kujitambua kwa mtu
 
Wanaweza kukwambia administration ilikuwa na priorities nyingine. Si kila kitu kinatekelezeka katika miaka mitano. Wanaweza kukwambia muswada umepelekwa katika gazeti la serikali lakini unahitaji mabadiliko or some bs like that.

Inawezekana wao kuwa karibu tu na wakubwa (kujikomba) ni deal tosha kufanikisha mambo yao, regardless ya hili la hakimiliki.

Hii ni biashara ya matapeli wawili kupatana, anayeuza dhahabu feki anapewa noti feki, kama alivyosema J. Wasanii wanakuwa promised hakimiliki feki, na CCM wanakuwa promised an empty victory.

At least CCM wanapalilia ushindi, upinzani sijui hata wanafanya nini.

Status yao ya easier access to media itapotea kama wakienda against satatus quo,ambayo,ili render inability to convey any message to the society(rmrmber wat happnd to Mr 2?) hence worthless,then watakuwa kama mimi na wewe tu,yu understand?They're made,and whoever made them can "Dissasemble" them

Its two different isue to be made by yur hardworking and talent,and its another to be made by media,certainly yu can't go after the interests of yur owners,hence luck of free mind and self expression....Kama tutaendelea kukumbatia dhana ya ccm ya kwamba ili ufanikiwe lazima uwe ccm,unategemea nini kwa watu ambao ni just wasanii?Ni wasanii wachache sana ambao wako independent......Mfano halisi ni alosema member mmoja hapo nyuma kwamba miziki yao mingi inapingana na uendeshaji mbovu wa ccm,wanaelewa consequences,na wewe pia uelewe kuwa mtandao bado upo na wanascrutinezi nanai anasema nini na anamback nani.

Nakaaa Sumari is bold,she a true artist,kama ni kweli hao wasanii waliimba kuwa ccm ni mafisadi na hapo hapo wanaifagilia,then go het me a definition of cowrdness.
 
Hatuzungumzii potentila celebrities or artists,tunazungumzia waliopo,huwezi kwenda pale maelezo ukaitisha mkutano na waandishi wa habari,hauna status ya ucelebrity,you can say whatever you want,lakini watu walio na access na media ambao ni macelebrities,wao wako accountable to watever they say on the public arena....Kama ingekuwa mimi na wewe tayari in that position of being famous,then it wouldve matter coz wananchi watajadili na tofauti zitatokea,kwa upnade wangu mimi na wewe,bado si macelebriies and so nobody is going to listen to us and we dont have followers,hope yu c da diff.

Chukueni celebrities wenu basi na nyie wapinzani mfanye campaign zenu, hawa si ma star wa Bongofleva wote, kuna wengine kibao -wengine on principle- wamekataa ujinga huu.

Sijamuona Solo Thang hapo kwa mfano.

U see what I'm saying? Huwezi kuacha upinzani ulale bila kufanya homework yake, halafu uwacharukie watu kwa sababu CCM wanafanya homework yao kuhusu uchaguzi na tatctics za kushinda.
 
Status yao ya easier access to media itapotea kama wakienda against satatus quo,ambayo,ili render inability to convey any message to the society(rmrmber wat happnd to Mr 2?) hence worthless,then watakuwa kama mimi na wewe tu,yu understand?They're made,and whoever made them can "Dissasemble" them

Its two different isue to be made by yur hardworking and talent,and its another to be made by media,certainly yu can't go after the interests of yur owners,hence luck of free mind and self expression....Kama tutaendelea kukumbatia dhana ya ccm ya kwamba ili ufanikiwe lazima uwe ccm,unategemea nini kwa watu ambao ni just wasanii?Ni wasanii wachache sana ambao wako independent......Mfano halisi ni alosema member mmoja hapo nyuma kwamba miziki yao mingi inapingana na uendeshaji mbovu wa ccm,wanaelewa consequences,na wewe pia uelewe kuwa mtandao bado upo na wanascrutinezi nanai anasema nini na anamback nani.

Nakaaa Sumari is bold,she a true artist,kama ni kweli hao wasanii waliimba kuwa ccm ni mafisadi na hapo hapo wanaifagilia,then go het me a definition of cowrdness.

Babu,

Pengine ni ma coward na si mashujaa kama wewe.

But that is my entire point. Si lazima kila mtu awe shujaa kama wewe, ukifikiri hivyo utakuwa umekosea sana.

Wewe mwenyewe unayejifikiri shujaa by implication kutoka hapo kwenye keyboard sijui ungekuwa faced na realpolitiks za Profesa Jay unge react vipi.

Mimi sifagilii walichofanya, lakini sifagilii zaidi kutaka wawe na obligation fulani kwa chama au movement fulani, waacheni wachague wanavyotaka, tena nawashukuru wametufumbua macho.
 
Status yao ya easier access to media itapotea kama wakienda against satatus quo,ambayo,in abilit to convey any message hence worthless,then watakuwa kama mimi na wewe tu,yu understand?They're made,and whoever made them can "Dissasemble" them

Its two different isue to be made by yur hardworking and talent,and its another to be made by media,certainly yu can't go after the interests of yur owners,hence luck of free mind and self expression....Kama tutaendelea kukumbatia dhana ya ccm ya kwamba ili ufanikiwe lazima uwe ccm,unategemea nini kwa watu ambao ni just wasanii?Ni wasanii wachache sana ambao wako independent......Mfano halisi ni alosema member mmoja hapo nyuma kwamba miziki yao mingi inapingana na uendeshaji mbovu wa ccm,wanaelewa consequences,na wewe pia uelewe kuwa mtandao bado upo na wanascrutinezi nanai anasema nini na anamback nani.

Nakaaa Sumari is bold,she a true artist,kama ni kweli hao wasanii waliimba kuwa ccm ni mafisadi na hapo hapo wanaifagilia,then go het me a definition of cowrdness.

Mushi ,

Nakubalina na wewe kabisa kwamba Tanzania ya leo mtu ukiwa chama upinzani unaonekana kama muasi. Na ukitaka mambo yako yaende sawa basi inabidi ushirikiane na CCM. A classic example ni mkoa wa Kilimanjaro baada ya uchaguzi wa mwaka 1995, wanachi walikuwa punished kwa sababu tuu hawakuchagua CCM .Na kuna kipindi hata Mkapa aliwahi kusema ya kuwa nyie hamkunichagua.

Ili ni jambo baya sana, yaani kusudi mtu aendelee au biashara yake iende vizuri lazima awe CCM.
 
Babu,

Pengine ni ma coward na si mashujaa kama wewe.

But that is my entire point. Si lazima kila mtu awe shujaa kama wewe, ukifikiri hivyo utakuwa umekosea sana.

No mkuu,sijasema huo ni ushujaa ku criticise ma pro fisadi,Ila kwao kina Prof Jay itakuwa ushujaa kwasababu they got something to loose,nashangaa kwanini hatuelewani hapa,kuweza kureason na kuwa independent minded hakuhitaji ushujaa,na mimi si shujaa kwasababu si superstar,kama ningesema haya ninayosema sasa kwenye position waliyoko,yani on say Prof Jay's shoes, then ungenibrand shujaa,kwa maana ya kwamba maslahi binafsi pembeni na what i think matters for the nation comes first,tuna mifano ya miziki kama reggae na hi hop zilivyoshiriki kwenye mapinduzi ya mabadiliko kwenye societies zao.

Shabba Ranks alipoteza mauzo nchi za magharibi simply kwa kutoa kauli mbaya kuhusu gays,sasa ina maana ni yeye tu amewahi kuwakandia gays?answer is no,but why him?hilo nshakujibu karibia kila post yangu.

They're different,they're celebrities,ppl might linsten and be influnced by them more than just Jmushi and Kiranga.
Pia nakubali kuwa si lazima kila mtu awe shujaa,lakini wao si "Kila mtu"
 
No mkuu,sijasema huo ni ushujaa ku criticise ma pro fisadi,Ila kwao kina Prof Jay itakuwa ushujaa kwasababu they got something to loose,nashangaa kwanini hatuelewani hapa,kuweza kureason na kuwa independent minded hakuhitaji ushujaa,na mimi si shujaa kwasababu si superstar,kama ningesema haya ninayosema sasa kwenye position waliyoko,yani on say Prof Jay's shoes, then ungenibrand shujaa,kwa maana ya kwamba maslahi binafsi pembeni na what i think matters for the nation comes first,tuna mifano ya miziki kama reggae na hi hop zilivyoshiriki kwenye mapinduzi ya mabadiliko kwenye societies zao.....Shabba Ranks alipoteza mauzo nchi za magharibi simply kwa kutoa kauli mbaya kuhusu gays,sasa ina maana ni yeye tu amewahi kuwakandia gays?answer is no,but why him?hilo nshakujibu karibia kila post yangu....They're different,they're celebrities,ppl might linsten and be influnced by them more than just Jmushi and Kiranga.
Pia nakubali kuwa si lazima kila mtu awe shujaa,lakini wao si "Kila mtu"

Totally did not get my point, totally incoherent, I begin to doubt your capacity to correlate issues now.

Unajiumauma sasa.

Ume associate kutoweza kwao kusema ufisadi na cowardice acts.

Mi nakwambia kama unawaona cowards, ina maana either wewe ni hypocryte kama wao, ambaye unajificha under the fact kwamba hujapata nafasi, au ni shujaa ambaye ushafanya kitu.

In either case, tunatofautiana katika level zetu za ushujaa, Tsvangirai alitaka kuleta ushujaa akaona Mugabe atamuua yeye na watu wake, akaona isiwe tabu, akaweka ushujaa pembeni akawa practical.

Leo asubuhi tumesikia kina RedShirts huko Bangkok wame surrender kwa sababu hawataki any more bloodshed.

Sasa wewe unaweza kusema kina Tsvangirai Zimbabwe na viongozi wa Red Shirts huko Thailand ni cowards kwa sababu wame give up the fight? Wakati wewe mwenyewe ni Internet MC kushabikia kwenye keyboard tu? Unasema watu cowards wakati wewe hutuonyeshi umefanya nini zaidi yao?

Kama mna details za kuwachamba hawa mabwege tunazialika zileteni hapa, lakini msitake kuwadhulumu haki yao ya kukampainia chama cha siasa wanachotaka.
 
Mkuu nilisema hivi....

Jmushi1 said:
No mkuu,sijasema huo ni ushujaa ku criticise ma pro fisadi,Ila kwao kina Prof Jay itakuwa ushujaa kwasababu they got something to loose

Wapenzi wa muziki wa Bongo flavor wana haki ya ku criticise maamuzi yao ama vitendo vyao wasanii,coward ni mtu ambaye ulifikiri mko pamoja,kwa mfano based on their previous productions baadhi walionekana wakitunga mashairi yenye kuonyesha kutoridhishwa ie ndiyo mzee song Mr Politiciana etc!

Kusema kuhusu ufisadi na kuwa na msimamo dhidi ya ufisadi ni two different issues.....Uki imply kuwa viongozi mafisadi wako ccm halafu ukawachangia hiyo unaita nini?
Hayo mambo ya ushujaa once again are irrelevant.....Nshakwambia mimi na wewe si kama wao,mbona huelewi mkuu?Sina access ya media kama wao.....Na comparison yao na Tsivangirai ni totally out of point.
 
Mkuu nilisema hivi....

Wapenzi wa muziki wa Bongo flavor wana haki ya ku criticise maamuzi yao ama vitendo vyao wasanii,coward ni mtu ambaye ulifikiri mko pamoja,kwa mfano based on their previous productions baadhi walionekana wakitunga mashairi yenye kuonyesha kutoridhishwa ie ndiyo mzee song!

Kusema kuhusu ufisadi na kuwa na msimamo dhidi ya ufisadi ni two different issues.....Uki imply kuwa viongozi mafisadi wako ccm halafu ukawachangia hiyo unaita nini?
Hayo mambo ya ushujaa once again are irrelevant.....Nshakwambia mimi na wewe si kama wao,mbona huelewi mkuu?Sina access ya media kama wao.....Na comparison yao na Tsivangirai ni totally out of point.

Ulifikiri?

Tatizo letu ndilo hili, kufikiri fikiri kwingiiiii, kujua hamna!

Niambie kuhusu unachojua, si unachofikiri.

Hukatazwi kufikiri chochote, hell, kuna watu wanafikiri the earth is flat, na wana haki ya kufikiri hicho, as long as wanafikiri.

Ona http://www.alaska.net/~clund/e_djublonskopf/Flatearthsociety.htm

Na http://theflatearthsociety.org/cms/

The moment wanakaposema wanajua kwamba the world is flat mimi nina bifu nao.

Labda it is high time tuache kufikiri fikiri, na tuanze kujua.

Mimi sikufikiri fikiri, na ku assume assume, nilijua tangu mwanzo kwamba hawa watu wa bongoflava ni wasanii tu, hawana chochote serious, na mpaka leo ninavyoona wanafanya campaign kwa CCM sishangai, kwa sababu najua rationale na bottom line yao. Kitu pekee ninachoshangaa ni hao watu wanaowashangaa.

Ni wewe na wenzako mnaofikiri fikiri bila kujua tu mnaoweza kushangazwa na move hii.

A little knowledge is dangerous indeed.
 
Maoni ya watu humu wanaowaunga mkono hawa waganga njaa plus kitendo cha hao 'wasanii' kukipigia chapuo upenuni kabisa chama kinachoididimiza nchi ktk lindi la umaskini kinadhihirisha mizizi ya tatizo.

Na kama kweli tunahitaji mabadiliko inabidi kwanza tujiangalie sisi wenyewe. Sisi wenyewe ndio tunaoweka misingi ya umaskini. Umaskini wa fikra, ubinafsi, hila na ghilba hadi umaskini wa mali.
 
Maoni ya watu humu wanaowaunga mkono hawa waganga njaa plus kitendo cha hao 'wasanii' kukipigia chapuo upenuni kabisa chama kinachoididimiza nchi ktk lindi la umaskini kinadhihirisha mizizi ya tatizo. Na kama kweli tunahitaji mabadiliko inabidi kwanza tujiangalie sisi wenyewe. Sisi wenyewe ndio tunaoweka misingi ya umaskini. Umaskini wa fikra, ubinafsi, hila na ghilba hadi umaskini wa mali.

We dare speak open hapa, kina nani hao "wanaowaunga mkono hawa waganga njaa" ?
 
Back
Top Bottom