Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 745
Pasco, waweza tujuza hili pia. una hakika gani kama kweli yule mgonjwa alichaguliwa na wameru na si dhuluma ya Magamba kupitia tume?Feedback, nakubaliana na wewe nguvu ya umati kwenye mob psychology, ila ukiwa na watu 10 ambao ni wapiga kura thabiti, ni bora kuliko umati wa watu elfu wenye wapiga kura wawili!.
The factor ya undecided votes doesn't apply kwenye maeneo yenye ukabila wa hali ya juu unaondekezwa na nguvu za koo kama Arumeru!. Hivi kulikuwa na sababu gani daftari la kudumu la Arumeru lisiwe updated kabla ya uchaguzi?. Sheria ya uchaguzi inasisitiza uchaguzi mdogo kufanywa ndani ya siku 90, siku 7 tuu zingetosha kufanya update!. Kama wapiga kura ni wale wale ambao hawakumchagua mgombea yule yule na badala yake wakamchagua mgombea fulani aliyekuwa hoi bin taaban akiugulia kitandani bila kufanmya kampeni yoyote!, unadhani kitu gani kitawafanya wapiga kura hao hao sasa ndio wamchague ili hali sasa ndio anasimama na mtu fit?!.