Waraka unaodaiwa wa Wabunge wa CCM kumpinga SIOI wasambaa Arumeru

Jackbauer, sio taarifa za Arumeru, uchaguzi ulishafanyika kitambona matokeo ya Arumeru yalishatoka na nilishayatangaza huko nyuma. Kinachoendelea sasa ni kutimizwa tuu kwa matakwa ya sheria, taratibu na kanuni!.

Nahisi una ajenda ya Siri maana umekomalia sana hii umekuwa ndiyo msemaji Wa Nape?
 
No, tunaongea na facts, hata hivyo kuwa na washabiki wengi nayo ni factor mojawapo ya ushindi, washabiki wengi wana motivate undecided voters kukipenda chama, hizi ni kampeni za wazi kwa hiyo huwezi kuniambia uitishe mkutano wakusanyike watu 10 halafu useme chama kitashinda kwanza hata hao 10 si wote watakaokupigia kura.
Feedback, nakubaliana na wewe nguvu ya umati kwenye mob psychology, ila ukiwa na watu 10 ambao ni wapiga kura thabiti, ni bora kuliko umati wa watu elfu wenye wapiga kura wawili!.

The factor ya undecided votes doesn't apply kwenye maeneo yenye ukabila wa hali ya juu unaondekezwa na nguvu za koo kama Arumeru!. Hivi kulikuwa na sababu gani daftari la kudumu la Arumeru lisiwe updated kabla ya uchaguzi?. Sheria ya uchaguzi inasisitiza uchaguzi mdogo kufanywa ndani ya siku 90, siku 7 tuu zingetosha kufanya update!. Kama wapiga kura ni wale wale ambao hawakumchagua mgombea yule yule na badala yake wakamchagua mgombea fulani aliyekuwa hoi bin taaban akiugulia kitandani bila kufanmya kampeni yoyote!, unadhani kitu gani kitawafanya wapiga kura hao hao sasa ndio wamchague ili hali sasa ndio anasimama na mtu fit?!.
 
Hizi siasa za Tanzania ni vichekesho. Kwenye chaguzi ndio tunaona watu wanazungumzia mabaya ya wengine. Mara huyu fisadi mara huyu alifukuzwa kanisani. Hivi hayo yote yanawasaidiaje wananchi wa hali ya chini? Wagombea wafike mahala wajue wananchi wanataka nini na sio kueneza porojo.

Nawsilisha
 
Kumbe we ni ccm damu sikujua
Mumwi, kama kipimo cha kuwapima CCM damu ni wale wanaosema kweli daima na kusimama kwenye kweli, no matter what, then, "Mimi Pasco wa jf ni CCM damu!". Mimi kama mimi, Pasco wa jf, naendelea kusisitiza sio mfuasi wa chama chochote, bali ni mshabiki wa demokrasia ya kweli na kusimama kwenye kweli.

Kwa vile CCM siku zote inashinda kwa ghilba na mazoea tuu kutokana na ignorance ya Watanzania kuendelea kudanganywa, upinzania kamwe hauwezi kushinda kwa kutumia mbinu zile zile za CCM kuwadanyanya wananchi, ili upinzani ushinde, ni lazima usimame kwenye kweli kwa kuwafungua macho Watanzania, sio tuu kwa kuwaeleza kuwa wamekuwa wakidanganywa siku zote, bali kuewaonyesha ukweli ni upi, tunatakiwa kufika wapi, njia ya kufika hapo ni ipi, na kupanga mikakati ya kufika hapo tunapotakiwa tufike!.

Tendelee kunyoosheana vidole huyu "CCM Damu" huyu hivi, huyu vile, huku tukijifariji na makundi ya watu!.
"seek the truth, and the truth will set you free!".
 
Kama ushindi ni makundi ya watu, au kubwebwa juu juu, basi Lyatonga angeshinda ile 1995!. Laiti huo umati ungewa ni umati wa wapiga kura!.

Angalizo: Msije kunifikiria mimi ndio naishabikia CCM ishinde, au namshabikia Sioi, no!, mimi nasimama kwenye ukweli, hata ukiwa ni mchungu kiasi gani, ukweli utabaki kuwa ni ukweli na ndio utakao simama!.

Endeleeni kujifariji na umati wa watu kwenye kampeni, mimi nilishuhudia haya kwa macho yangu kule Busanda na Biharamulo!. Sasa subirini matokeo Arumeru ndipo tutaeleweshana vizuri!.

mkuu sisiem wamezoea kuiba mwaka 95 nilkuwa mdogo sana siwez kuzungumzia ila wapo ndugu na marafiki wapo vyuoni hapo makumira na uni of arusha wanasema wanapigiwa simu na makada wa sisiem wakusanye id zao au wawaakikishie watawapa kura kwa malipo ya sh 10.vijana ni wajanja wanakula pesa kura cdm ,kura ni siri bana wapeni pesa na pombe vijana wasahau shida kwa muda.wakati ushafika wetu sisi nyie mda wenu wa zama za kulambana miguu umeshapita.WAJINGA NDIO WALIWAO tunaanza na AM no kuchakachua matokeo
 
Nahisi una ajenda ya Siri maana umekomalia sana hii umekuwa ndiyo msemaji Wa Nape?
Mkuu Mumwi, fuatilia tuu post zangu, utagundua sina ajenda ya siri bali nasimama kwenye kweli!. Pia naomba uelewe sio rahisi kusimama kwenye kwenye kwa jamii iliyogubikwa na ubatili kama sisi Watanzania na wengu wetu hatupendi kuusikia ukweli mchungu, hivyo ninavyotoa dose chungu kwa watu wanaoendekeza lawalawa, naelewa pia nini huwa kinafuatia, na kwa vile nasimama na kweli, sijali nitaonekanaje, hivyo kunidhania nina ajenda ya siri, ni sehemu tuu ya wapenda pipi, lawalawa ambao wanashabikia zaidi nyimbo na sifa na mapambio!.
 
mkuu sisiem wamezoea kuiba mwaka 95 nilkuwa mdogo sana siwez kuzungumzia ila wapo ndugu na marafiki wapo vyuoni hapo makumira na uni of arusha wanasema wanapigiwa simu na makada wa sisiem wakusanye id zao au wawaakikishie watawapa kura kwa malipo ya sh 10.vijana ni wajanja wanakula pesa kura cdm ,kura ni siri bana wapeni pesa na pombe vijana wasahau shida kwa muda.wakati ushafika wetu sisi nyie mda wenu wa zama za kulambana miguu umeshapita.WAJINGA NDIO WALIWAO tunaanza na AM no kuchakachua matokeo
Babuu, tusubiri matokeo ya Arumeru, ndipo tuendelee kuelimishana!.
 
Mkuu Feedback niko pale pale niliposimama na msimamo ni ule ule, huyo mfa maji ni aliyeandika waraka ili uonekane ni wa CCM!.
Mbona CCM ndio wataalamu wa kuandika nyaraka, kama ule wa juzi waliodai umeandikwa na Mhs Zito, hii sio kampein ya ndani kwa ndani kweli wenyewe kwa wenyewe???????????

Feedback, nakubaliana na wewe nguvu ya umati kwenye mob psychology, ila ukiwa na watu 10 ambao ni wapiga kura thabiti, ni bora kuliko umati wa watu elfu wenye wapiga kura wawili!.

The factor ya undecided votes doesn't apply kwenye maeneo yenye ukabila wa hali ya juu unaondekezwa na nguvu za koo kama Arumeru!. Hivi kulikuwa na sababu gani daftari la kudumu la Arumeru lisiwe updated kabla ya uchaguzi?. Sheria ya uchaguzi inasisitiza uchaguzi mdogo kufanywa ndani ya siku 90, siku 7 tuu zingetosha kufanya update!. Kama wapiga kura ni wale wale ambao hawakumchagua mgombea yule yule na badala yake wakamchagua mgombea fulani aliyekuwa hoi bin taaban akiugulia kitandani bila kufanmya kampeni yoyote!, unadhani kitu gani kitawafanya wapiga kura hao hao sasa ndio wamchague ili hali sasa ndio anasimama na mtu fit?!.

Mkuu Pasco, kumbuka mkuu wa kaya mwaka 2005 kura zilishuka sana mkuu.

Anyway its too late for CDM to win this battle, waliingizwa mkenge kwa siasa maji taka kwa kuwa wenzao hawakuwa na sera na wenyewe wakaingia kichwa kichwa badala ya kutoa sera zao.

Ni uchungu kwa CDM kukubali lakini ndiyo ukweli wenyewe.

Walianza na zengwe na watamaliza kwa zengwe, na nchi yetu always ni zengwe ndilo lishindalo always.
 
Mbona CCM ndio wataalamu wa kuandika nyaraka, kama ule wa juzi waliodai umeandikwa na Mhs Zito, hii sio kampein ya ndani kwa ndani kweli wenyewe kwa wenyewe???????????

Mkuu ukiangalia kwa macho mawili na akili hata ya darasa la tatu, iweje waraka usisainiwe lakini uambanishwe na picha, unaficha nini na unaanika nini..?

Mkuu, ndiyo ilivyo, subiri april fool uone who's a fool..
 
Kumbe we ni ccm damu sikujua

humu ndani ya JF ukiwa na wazo tofauti lazima uwe ccm? pasco anaongea kwa uzoefu wake. mashabiki wengi wa CDM hawapigi kura na ndio maana CCM wamekataa kurekebisha daftari la kupiga kura maana muitikio ungeisaidia CDM! yaani hata mwaanamageuzi akisema tofauti na CDM wanavyotaka ni gamba! mahaba gani haya?
 
Hivi kulikuwa na sababu gani daftari la kudumu la Arumeru lisiwe updated kabla ya uchaguzi?. Sheria ya uchaguzi inasisitiza uchaguzi mdogo kufanywa ndani ya siku 90, siku 7 tuu zingetosha kufanya update!.

Hapa ndiyo bao la kisigino lilipopigwa.

Look here,.mwaka 2010 kijana aliyekuwa na miaka 16 ana miaka 18 leo na kijana aliyekuwa na miaka 17 ana miaka 19 leo, kwa hiyo katika uchaguzi huu wa Arumeru umri wa kuanzia kupiga kura ni miaka 20 na kuendelea, kwa kuwa vijana wenye miaka 18 na 19 leo, walikuwa na miaka 16 na 17 mwaka 2010 wakati wa marekebisho ya daftali la kudumu la wapiga kura. Hii siyo ajali.
 
Jamaa naona unafaraja ambayo haina sababu.arumeru residents shall decide who is to take the throne,people like u always commit sucide when they find the possible is impossible on the face of the lord.
 
Mkuu Angel Msoffe, kwani wanaochagua ni CCM au ni watu wa Arumeru?, kama uchaguzi wa mwaka 2010, mgombea fulani alishindana na mgombea wa CCM aliyekuwa hoi kitandani, CCM iukashinda!, what chances does does he stand kushinda, mgombea huyo huyo kishindana na mgombea ambaye yuko fit!. Kama umefanya experiment kwa kutumia the same reagents na the same conditions, usitegemee kuypata matokeo tofauti!. Sio hata angekuwa anasimama tuu na kusema, "jamani nipeni pole tuu kwa kufiwa na baba", bado anashinda kwa symphatetic votes!.
Kipindi kile hawakuwa na taarifa kuwa Mhs Mkapa kawadhurumu mashamba yao kama sasa!!!! Utanda wazi umeongezeka sasa, CCM wamelikologa wenyewe na kampeini za kubebana na kupalulana, majibu yake tuyangojee kesho kutwa!!!!

Chadema shall win if only arumeru dwelers are accepting the truth and they are ready to work with the commanders who are also ready to lead them not to the astray.ccm is no longer a political party,every body with a sane mind knows this,it doesnt require any level of formal studies...God knows...
 
Waraka huu umeandikwa na CCM kwa lengo la kumpa ushindi Siyoi.Lengo la waraka huu ni kuwakasirisha Wameru ili waende kumpigia kura Siyoi kana kwamba hapendwi na wenzake ndani ya chama ila wao wapiga kura wanampenda.CCM mara zote hujifanya wabunifu.Think twice...
 
Jamaa naona unafaraja ambayo haina sababu.arumeru residents shall decide who is to take the throne,people like u always commit sucide when they find the possible is impossible on the face of the lord.

Mkuu ningeomba ujiandae kisaikolojia, huo ndiyo ukweli wenyewe.
 
Truth is temporally,and if the truth changes,those who embrace such a truth must look an altenative to conceal the false ideas and also they will be concentrating in figuring fallacies for the pig headed
 
Waraka huu umeandikwa na CCM kwa lengo la kumpa ushindi Siyoi.Lengo la waraka huu ni kuwakasirisha Wameru ili waende kumpigia kura Siyoi kana kwamba hapendwi na wenzake ndani ya chama ila wao wapiga kura wanampenda.CCM mara zote hujifanya wabunifu.Think twice...

uwezekano upo kuwa kuna watakao elewa tofauti na wewe?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom