BULOLE BUKOMBE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 488
- 109
Kumbe madikteta mpo wengi? kwani Ikulu kazi yake ni kukamata watu?
Una matatizo kwenye kwenye ubongo wa nyuma, mwandishi kakuambia ni jinai kutumia majina ya viongozi ,kama ni jinai nini kifanyike tofauti na kukamatwa? sasa wewe ndiyo mmoja watu mnaopenda kubembelezwa hata kama mmekosea kama walioambiwa wapige mbizi wakataka kuandamana kwa sh.200!!! wakati sukari na mafuta yalipanda wakawa wapole kama kondoo wa sufu. HAKUNA DICTATOR HAPO