Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,813
- 11,991
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 13 Machi, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Daniel Godfrey Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Kanali Patrick Kenan Sawala kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Anamringi Macha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Christina Solomon Mndeme kuwa Naibu Katibu Mkuu (Muungano na Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
Viongozi mbalimbali (Wakuu wa Mikoa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano na Mazingira),Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART) wakila Kiapo cha Maadili kwa viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Uapisho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.