Waraka Maalum kuhusu URAIS kwa Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

Lengo la waraka wako ni nini. Nauliza haya kwa as you seem to contradict yourself. Unasema Pamoja na kutambua kwako hivyo bado unaitaka kamati kuu. Unataka kamati kuu ikae ijadili nini? Nakuuliza haya nikiamini we ni mwanachama hai wa CDM,kama sio kumradhi.

Waraka wangu nimeuelekeza Kamati kuu ya CDM.Wewe mwana CCM hauhusiki.Samahani sana.
 
viongozi walio wengi wa chadema wana busara sana,ningependelea waendelee kukaa kimya juu ya swala hili.kazi ya ujenzi wa chama imeitikiwa vizuri na watz waliowengi hawaitaji kuambiwa nani mjenzi na nani mbomoaji,ktk chama tumekutana watu silka na hulka tofauti tofauti,hivyo chama kujadili silka na hulka za mtu kwa jambo la uroho wa madaraka si sawa.mkuu molemo umepresent sawa but tuwe na wajibu sawa kujenga chama tym ikifika atajulikana mwenye sifa na kipenzi cha watz,watu wanaotumia nguvu kujinadi mara nyingi huwa hawana sifa,haiba na mvuto wa wanachokitaka.so lets wait najua chama kinafuatilia jambo hili kwa karibu sana siku kikitoa tamko pia kitaeleza undani wake na wote wenye kusupport ujinga wataduwaa.m4c ni hakika!
 
kimsingi Molemo uko juu.kwa mara ya kwanza mwezi huu nimekaa na kuingia net.Safari yangu ya muda mrefu nje ya nchi inaniunganisha sana na ukweli wa CDM kuchukua nchi 2015.Watu wengi wa huku ulaya bado hawana taarifa sana za siasa ya Tz lakini kwa bahati nzuri wanataarifa za kutosha juu ya CDM.Kwamba tunawakati mgumu wa kumpata mgombea wa urais kupitia CDM kwa umbali naona kama kuna ukweli.Mimi ni mzaliwa wa Njombe,na kwa kweli kule kwa sasa tuna imani kubwa na uongozi wa juu wa CDM lakini kiukweli wabena na wahehe na makabila yanayowazunguka wanatabia ya uwoga pale ambapo hali ya usaliti inapoanza kujitokeza.Naamini watu kujitangaza kugombea wana haki lakini kwa muda ambaye kimsingi yuko nafasi za juu kama ZZK HATARI! Kila chama kina utamaduni ambao kwa vyovyote haujaandikwa popote lakini ni muhimu sana kuheshimiwa.Pamoja na hofu yangu kwa yanayotokea CDM bado naamini kwamba hiki ni chama makini sana na kwamba kwa karne hii hakuna kama CDM Tz.Kamanda Mbowe na Dr.Slaa tuwe tayari kuwasaidia ni viongozi wetu bora kabisa duniani.Miaka mitano tu ya uongozi katika nchi tutakuwa nchi bora duniani.Mungu tuepushe na fikira mbaya dhidi ya CDM:

Mkuu nakushukuru sana kwa hoja zako nzuri na za kujenga.Ninaamini wajumbe wa kamati kuu watafanyia kazi waraka huu kama watu wengi walivyoomba.
 
Mremo we ni jembe kamati kuu isipoliangalia hili chama chetu kinaweza tusambararika. Kwani hawa watu wana nia lengo gani kutangaza nia sasa hivi? si wasubiri muda ukifika na sasa wajikite kwenye kukijenga chama? Kamati kuu fanya kazi na mtupe majibu mara moja

Mkuu naamini kamati kuu wajumbe wake wana hekima kubwa watatujibu maombi ya waraka huu.
 
viongozi walio wengi wa chadema wana busara sana,ningependelea waendelee kukaa kimya juu ya swala hili.kazi ya ujenzi wa chama imeitikiwa vizuri na watz waliowengi hawaitaji kuambiwa nani mjenzi na nani mbomoaji,ktk chama tumekutana watu silka na hulka tofauti tofauti,hivyo chama kujadili silka na hulka za mtu kwa jambo la uroho wa madaraka si sawa.mkuu molemo umepresent sawa but tuwe na wajibu sawa kujenga chama tym ikifika atajulikana mwenye sifa na kipenzi cha watz,watu wanaotumia nguvu kujinadi mara nyingi huwa hawana sifa,haiba na mvuto wa wanachokitaka.so lets wait najua chama kinafuatilia jambo hili kwa karibu sana siku kikitoa tamko pia kitaeleza undani wake na wote wenye kusupport ujinga wataduwaa.m4c ni hakika!

Nakushukuru kamanda kwa mapendekezo yako.
 
Kamanda ucjali chadema tupo hakika tutajitahidi kuhakikisha hayo makundi hayapat nafasi ujue waliotangaza kugombea uraisi wana uchi wa madaraka jambo linatuumiza sana kwan tutakwenda kuchukua maamuzi mazito M4C DAIMA
 
Mkuu wangu tunachoomba ni mwongozo wa Kamati kuu kuelekea 2015
 
ungewashauri wamchukulie hatua yule msaliti mkubwa zitto kabwe kwa kuanzisha upuuzi huu,nani asiyejua kuwa huyo jamaa anatumiwa na ccm ili kuvuruga chama chetu,kama hatumiwi atuambie anaongea nini na dhaifu wanapokaa kitu kimoja kwenda wanakokwendaga

yaani mkuu umesema kweli kabisa zitto kabwe ni kibaraka wa ccm anatumwa kuvuruga cdm so ninaunga mkono wazo lako kwamba cdm wawe macho na zitto kabwe ni nyoka mkubwa ndani ya chadema
yaani kuweni macho sana WATAKAO CHAGULIWA KUWA wanakamati ya chadema
binafsi simpendi hata kidogo zitto kabwe ni nyoka......MKUBWA SANA
 
Nakushukuru kamanda kwa mapendekezo yako.

tuko pamoja mkuu,lakini wakati hekima ya wazee tukiipa nafasi hakuna sababu ya watu wachache kuwapa nafasi ya kutugawa iwe kwa vitumbua ama kwa kudhani wao ni wajuaji kuliko wengine.Ni hekima pekee na ustahimivu ndivyo vitatuvusha hapa kama chama na kama jamii.Matatizo ameumbiwa mwanadam na ili tuweze kufurahia mafanikio ya kumuondoa mkoloni mweupe lazima tupitie vikwazo vingi na yawezekana bado hatujafikia vikwazo ambavyo vikatisha tamaa na kuona labda mwisho ndo umefika hakuna safari zaidi,tutapofikia hapo ni kwamba the success will be around the corner,the more we face the tough obstacles the more we become strong to defeat our enemies.Mkuu Molemo wakati tunapambana na maadui wengine nje lazima wawepo maadui wengine ndani hawa kazi yao ni kutukumbusha kuwa adui wakati mwingine anaweza kuingia ndani so vema tujue kuwadhibit wote pasi kujali adui yupo ndani ama nje but namna ya kuwadhibiti maadui hawa hutofautiana wa ndani unamlia timing tu na wanje nitandika kila makao,wafuasi na silaha zake.Kwa chama kilipofikia hakuna mwenye ujanja wala mbinu za kugawa watz na hasa wanamabadilko wa kweli,nikuhakikishie tu Mkuu Molemo Muda wa kuchagua viongozi wa serikali za mitaa ndipo hili litakapothibitika na kwa kweli kazi ambayo mimi na wewe tutakayoifanya Mwaka 2015 wakati presidential Candidate wa chama ambaye nina hakika hatakuwa mwenye uchu wa madaraka ama anedhani kuwa yeye ni mzalendo zaidi ktk nchi,we will do the amazing job for our country.Tuwe wamoja tu mpaka mwisho mkuu!
 
Pamoja sana kamanda.Ushauri murua kabisa huu.Kwa umoja wetu tutafanikiwa.
 
Kama wanataka kugombea urais kwa maslahi yao wako sahihi kutangaza nia zao lakini kiongozi ambaye anahitajika ni yule atakaeteuliwa na kutumwa na chama chake ili akaliongoze Taifa letu kwa maslahii ya Watanzania
 
Mkuu wangu na ndiyo maana tunataka Kamati Kuu itupe mwongozo kuelelea 2015
 
Chadema bado wana ukomavu bandia wa siasa.

Mkuu Ritz;
Molemo anajua wazi kuna makundi makubwa yanayotishia amani ndani ya Chadema; Molemo tayari analitumikia kundi fulani inashangaza sana anapojifanya hali ni shwari ndani ya Chadema; ukomavu Chadema bado saana.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,
Yeye yupo kundi la Dr Slaa halafu anatoa waraka haoni kama anajichanganya tu.
 
Last edited by a moderator:
Waraka wangu nimeuelekeza Kamati kuu ya CDM.Wewe mwana CCM hauhusiki.Samahani sana.

Mkuu Molemo kama waraka ulikuwa unaihusu kamati kuu usingekuwa na haja ya kuuleta JF; unauthibitisho wowote wa kukazia maneno yako kama MchukiaUonevu ni mwanaccm? Mkuu pamoja na kwamba Mtume Paulo aliandika waraka wa 1&2 kwa Wakorintho lakini hakumaanisha Wakorintho pekee wausome hata Wagalatia waliusoma waraka ule hali kadhalika Wakorintho pia waliusoma Waraka wa Mtume Paulo kwa Wagalatia.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,
Yeye yupo kundi la Dr Slaa halafu anatoa waraka haoni kama anajichanganya tu.

ahaaa Mkuu Ritz; Molemo ndiye katibu wa uhamasishaji vijana ndani ya kundi la Dr. Slaa akisaidiwa na katibu mwenezi matola

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu wangu tunachoomba ni mwongozo wa Kamati kuu kuelekea 2015

Mkuu Molemo; tayari mwongozo upo ndio sababu wanachama wameanza kujitokeza kugombea nafasi; labda kama unataka kamati kuu ifanye mabadiliko kwenye vipengele vya katiba ya Chadema; au labda iweke mwongozo ni Dr. Slaa tu ndiye anayestahili kugombea.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
ahaaa Mkuu Ritz; Molemo ndiye katibu wa uhamasishaji vijana ndani ya kundi la Dr. Slaa akisaidiwa na katibu mwenezi matola

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Huyu jamaa kaleta waraka wake JF halafu anataka Pro-Chadema tu ndio waujadili huu si udikteta.
 
Last edited by a moderator:
Wajumbe Kamati Kuu,

Kwa heshima kubwa nawaandikia waraka huu mfupi kuhusu jambo moja ambalo ni la msingi kabisa na ambalo wanachama wa kawaida kabisa wangependa ufafanuzi mapema iwezekanavyo. Nimeona nitumie njia hii ya kupitia mtandao wa Kijamii wa JF nikiamini ndiyo njia bora zaidi kwa sasa na wajumbe wote wa kamati kuu kwa namna moja au nyingine ni watumiaji wa mtandao huu maarufu wa JF.

Kwanza niwapongeze wajumbe wote wa Kamati Kuu na wanachama wote kwa ujumla kwa juhudi kubwa mnazofanya kwa pamoja kupitia Vuguvugu la Mabadiliko-M4C ambalo kwa kiasi kikubwa limewekiweka chama chetu katika nafasi nzuri sana hasa katika maeneo ambako vuguvugu hili limepita.

Ni takribani miezi mitatu sasa tangu kuanza kwa mjadala mpana hasa kupitia vyombo vya habari,mitandao ya kijamii na mijadala ya kawaida mitaani kuhusu UGOMBEA WA URAIS NDANI YA CHADEMA.

Ikumbukwe kwamba mpaka sasa wanachama WATATU wa CHADEMA wameshatangaza Rasmi nia zao za kugombea URAIS wa Tanzania kupitia CHADEMA mwaka 2015.Wanachama ambao wameshatangaza nia zao ni Mhe. John Magale Shibuda (Mbunge wa Maswa), Deogratius Kisandu(Katibu wa BAVICHA-Tanga) na Mhe. Zitto Zubeir Kabwe(Naibu Katibu Mkuu Bara- CHADEMA)

Ni ukweli ulio dhahiri kuwa wanachama hawa watatu waliotangaza rasmi nia zao hawajavunja Katiba wala kanuni yoyote ya chama lakini pia ni wazi kutangaza kwao kumesababisha sintofahamu kubwa ndani ya chama.

Athari kubwa zinazoonekana za wazi mpaka sasa ni:

* Kabla ya wanachama hawa kutangaza nia zao mijadala mbalimbali katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ilitawaliwa zaidi na Harakati za chama katika kujiimarisha kupitia Vuguvugu la M4C lakini sasa mijadala hiyo imehamia kujadili URAIS ndani ya CHADEMA kitu ambacho ni furaha kuu kwa maadui wa CHADEMA.

*
Makundi ndani ya Chama - Ifahamike kwamba CHADEMA inapaswa kuepuka kwa kila hali makundi ya aina yoyote ili kujitofautisha na vyama vingine vyenye makundi na yanayohatarisha uhai wa vyama hivyo. Tutakuwa tunajidanganya sana tukidhani kwamba hakuna watu wanaowaunga mkono wanachama hawa watatu ambao kwa lugha rahisi watakuwa tayari wanaunda mtandao wa watu watakaowapigania ndani ya chama ili majina yao yapitishwe na vikao wakati ukifika. Tufahamu kwamba hata kama watakuwa wanaungwa mkono na watu watano watano kila mmoja wao basi tayari hayo ni makundi na tayari hiyo ni mitandao. Tufahamu kwamba takriban bado miaka mitatu kufikia uchaguzi mkuu ujao!!

*
Nilikuwa katika safari zangu za kibiashara huko Kishapu na nilishangaa kukuta wanachama wa kawaida kabisa wanaokaa vijiweni wakilalamikia hatari inayonyemelea chama chao kwa kile walichodai ni malumbano ya kusaka madaraka.Wakawa na hofu kwamba chama chao kitaishia kama NCCR ya wakati huo.Nilishtuka na sikuamini kusikia hayo kutoka kwa wanachama wadogo kabisa wa kule Kishapu.

Nimalizie waraka wangu huu kuiomba Kamati Kuu ya CHADEMA pindi itakapokutana ijadiliane hili swala kwa uhuru kabisa na kujaribu kutizama athari zilizoko mbele ya chama endapo kama hali hii itaachwa iendelee ingawa hakuna kanuni wala katiba iliyovunjwa.

Kamati Kuu ijiulize swali:
Je, Viongozi kama kumi kila mmoja akitangaza nia hiyo miaka 3 kabla ya uchaguzi mkuu umoja wa chama kweli utalindwa
? Je, kunaweza kuwa na watangaza nia kumi kwa mfano halafu wasiunde mitandao ya kuwaunga mkono ili wapitishwe na vikao vya juu?

Si kazi yangu kutoa majibu ya maswali haya bali kwa niaba ya wanachama wengi na wapenzi wa CHADEMA tunaomba Kamati Kuu ije na majibu ya maswali haya na mwongozo kwa ujumla kuelekea 2015.

Naomba kuwasilisha.

Molemo.

Uoga wa nini? Ukifika muda majina yatapendekezwa kura itapigwa atakayeshinda atachaguliwa kugombea.Hapo chama chenu kitakuwa kimeonyesha ukomavu, kwani kuna watu wameshachaguliwa kugombea hiyo nafasi?? Acheni uoga.
 
Mkuu chama,
Huyu jamaa kaleta waraka wake JF halafu anataka Pro-Chadema tu ndio waujadili huu si udikteta.

Mkuu Ritz;
Molemo anajua wazi hawezi kushindana na ukweli; ukiangalia kwa makini anataka pro Dr. Slaa tu ndio wachangie hata wale wanachadema waliofunguka kimawazo hawaruhusiwi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom