Huna haja ya kujenga nyumba ya maisha yako wakati hujui utaishi miaka mingapi. Unaweza kuanza kujenga tu na ukavuta.Wadau,
Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba.
Ipi ni sehemu sahihi?
Ushauri wangu kwako ni huu: ishi kama wahindi