Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 711
- 6,186
Habari
Naomba ushauri wa kununua ama kujenga nyumba iliyo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa Skwea mita 100.
Ambayo ramani yake ni nyumba ya vyumba viwili, choo cha Public, jiko na sebule.
Ushauri wajuvi wa ujenzi nyumba ya aina hii yaweza kugharimu kiasi gani hadi kukamilika?
Na je kipi bora kujenga ama kununua ambayo tayari imeshajengwa.