Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

Wadau,

Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba.

Ipi ni sehemu sahihi?
Huna haja ya kujenga nyumba ya maisha yako wakati hujui utaishi miaka mingapi. Unaweza kuanza kujenga tu na ukavuta.
Ushauri wangu kwako ni huu: ishi kama wahindi
 
Huna haja ya kujenga nyumba ya maisha yako wakati hujui utaishi miaka mingapi. Unaweza kuanza kujenga tu na ukavuta.
Ushauri wangu kwako ni huu: ishi kama wahindi
Wahindi wanaacha urithi wa pesa ña viwanda, Sisi hizi property ndio urithi wa kuwaachia watoto wetu.

Wewe uliyekuja kuzurura duniani endelea kuishi kama mdudu.
 
Kigamboni ni new town, kilometres chache kutoka town, tatizo lake kivuko cha kulipia na daraja la kulipia.

Kama site ni nzuri go for Gezaulole, Mimi sivutiwagi na sehemu kama Goba ujenzi wa kwenye miinuko ni ujenzi ghali zaidi na shida za maji.
Naitaji kiwanja gezaulole kilichopimwa cha kulipia kwa vipindi naweza kupata kweli kama kuna kampuni inayofanya hivo nipeni mchongo please
 
Back
Top Bottom