Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

SaidJuma123

New Member
May 28, 2023
4
6
Wadau,

Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba.

Ipi ni sehemu sahihi?
 
Kigamboni ni new town, kilometres chache kutoka town, tatizo lake kivuko cha kulipia na daraja la kulipia.

Kama site ni nzuri go for Gezaulole, Mimi sivutiwagi na sehemu kama Goba ujenzi wa kwenye miinuko ni ujenzi ghali zaidi na shida za maji.
 
Siioni bado sehemu inayoweza kuishinda kwa thamani sehemu yoyote inamopita barabara ya Morogoro kwa sasa,kama ikawa ni Kimara Mbezi au hata Kibaha.

Story kwamba Mbezi kuna shida ya maji zilikuwa zamani mimi nipo Mbezi Makabe sasa hivi huku maji yapo na maeneo kama ya Goba maendeleo yamewahi kufika,hata kwa nyumba za biashara bado Mbezi is the best Gezaulole leo sidhani kama kuna sehemu yenye chumba cha 50K but Mbezi vinakimbilia 60K frame za biashara sehemu zilizochangamka 400K.
 
Cheki huo uzi hapo
 
Ahsante sana chief Kwa ushauri 🙏
 
Sioni bado sehemu inayoweza kushinda sehemu yoyote inamopita barabara ya Morogoro kwa sasa,kama ikawa ni Kimara Mbezi au hata Kibaha.

Story kwamba Mbezi kuna shida ya maji zilikuwa zamani mimi nipo Mbezi Makabe sasa hivi huku maji yapo na maeneo kama ya Goba maendeleo yamewahi kufika,hata kwa nyumba za biashara bado Mbezi is the best Gezaulole leo sidhani kama kuna sehemu yenye chumba cha 50K but Mbezi vinakimbilia 60K.
Ahsante kwa ushauri kiongozi 🙏
 
Wadau,

Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba.

Ipi ni sehemu sahihi?
Inategemea vitu vingi ili kufanya maamuzi kwa mfano umbali unapofanyia shughuli zako/kazini kwako je ni umbali gani kutokea hiyo goba/kigamboni kwenye umbali mfupi ni bora zaidi. Je hiyo gezaulole/goba kiwanja kilipo na barabara ya lami ni wapi kuna umbali mfupi? kwenye umbali mfupi ni pazuri. Je unapenda maeneo ya flat if yes kigamboni pazuri au miinuko na mabonde if yes goba pazuri?. Unataka viwanja vilivyopimwa? Gezaulole vimejaa! Unapendwa vya skwata goba vimejaa! Unapenda kwenda kupunga upepo wa bahari mara kwa mara? kanunue kigamboni. Kingine ni gezaulole ipi unayoiongelea ya karibu na bahari au ile ya mbali na bahari? If ni ya karibu na bahari umekaa vizuri nunua ni bora kuliko goba.
 
Kigamboni ni new town, kilometres chache kutoka town, tatizo lake kivuko cha kulipia na daraja la kulipia.

Kama site ni nzuri go for Gezaulole, Mimi sivutiwagi na sehemu kama Goba ujenzi wa kwenye miinuko ni ujenzi ghali zaidi na shida za maji.
Jibu zuri sana
 
Siioni bado sehemu inayoweza kuishinda kwa thamani sehemu yoyote inamopita barabara ya Morogoro kwa sasa,kama ikawa ni Kimara Mbezi au hata Kibaha.

Story kwamba Mbezi kuna shida ya maji zilikuwa zamani mimi nipo Mbezi Makabe sasa hivi huku maji yapo na maeneo kama ya Goba maendeleo yamewahi kufika,hata kwa nyumba za biashara bado Mbezi is the best Gezaulole leo sidhani kama kuna sehemu yenye chumba cha 50K but Mbezi vinakimbilia 60K frame za biashara sehemu zilizochangamka 400K.
Uko sahihi sana mkuu
 
Kigamboni ni new town, kilometres chache kutoka town, tatizo lake kivuko cha kulipia na daraja la kulipia.

Kama site ni nzuri go for Gezaulole, Mimi sivutiwagi na sehemu kama Goba ujenzi wa kwenye miinuko ni ujenzi ghali zaidi na shida za maji.

Miinuko ni sahihi ingawa ukiwa na hela kwenye miinuko unatoa jumba moja matata sana, ila kuhusu maji ilikuwa zamani yani kwa sasa hakuna shida ya maji na sio goba tu bali ukanda wote wa morogoro road
 
Back
Top Bottom