Kama wikipedia inazo nondo za kushibisha socialogy kwa nini ushinde library kwenye mbano wa ajabu na vitabu vilivyochanwa karibu kila kurasa?. Mimi binafsi nimesoma UD darasani nimehudhuria 40 % na 60% nimekomba online kwenye hiyo hiyo wikipedia na chuo nikamaliza na GPA nzuri tuu, sasa kuna cha ajabu gani kuhusu huyu lecture kijana!?.
.
Mmhmmmh!
Bado sijakuelewa unamaanisha nini ndugu Pasco.