Wapi Misanya Bingi & Dena Amsi?

Misanya Bingi, kitambo sana aise kumbe now a days ni lecturer.
Abarikiwe sana I think ndiye pia alimfungua 'double G' that time
Uwe unaangalia na comment za wengine mkuu. Hapa wana sema katutoka juzi, wee una comment ki hivo:oops:
 
Hapa swali ni kwamba...
1. Kwanini wote walio tajwa na mleta mada tayari wamefariki?
2. Kwanini aliwataha hao wawili na hakutaja wengine?
3. Kwanini alikua amewataja wote, je walikua wana fahamiana ama hata ukaribu wowote?
Duuh swali la kidetective kabisa hili. Ila Dena alifariki mwaka jana ee
 
Duuh swali la kidetective kabisa hili. Ila Dena alifariki mwaka jana ee
Ndio mkuu, yaani hapa bado nina maswali kadhaa ya kumuuliza huyu mleta uzi.
Yaani inatakiwa akuje na atuambie nini hasa kilicho msukuma hadi akaandika huu uzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom