alikuwa na taarifa usihukumu jambo usilolijua, yeye ndio mtu wa visasi na nisingeweka detail zake pia ni yale yaleBaba wa mtoto hana kosa wewe ndo una makosa huwez tu kukurupuka kwenda kutoa details zake bila kumjulisha na kuona utayari wake. Mmmh mara nying akina mama mmeharibu maisha ya watoto kwa kuleta mambo yenu/maugomvi kwa watoto...
niliandika namba zangu mbili na ya ofisini moja, jumla namba tatu na ya baba mtu nashaaa mimi kutokupigiwa simu hata moja, mawsiliano sio mazuri,ni mtu wa shari huwezi kujadiliana nae jambo lolote, kiufupi ni haeleweki kabisa ni mtu wa shari mud wotepole sana kwa matatizo yaliyokupata...
kwenye namba za simu uliandaka ya baba wa mtoto ina maana hukuweka na yako???
je mahusiano yako na ya mzazi mwenzako yakoje??
alikuwa na taarifa usihukumu jambo usilolijua, yeye ndio mtu wa visasi na nisingeweka detail zake pia ni yale yale
Du!! hii kali, kuna wanaume wengine ni disgrace kwetu wanaume-sijui hawa tuwaite nani?! Nakosa hata jina linalomstahili
unajua watu hawajadadavua vizuri ndugu zangu mimi simlaumu huyo baba hata kidogo kwani mmejua ni nini kiliwafanya waachane? Acheni jamani mambo mengine tuna-commet tu ila undani hatuujui.
kwani ulimpa taarifa kuwa unampeleka shule mwanae?
Kutokumpa taarifa ilikuwa DHARAU!.
Baba wa mtoto hana kosa wewe ndo una makosa huwez tu kukurupuka kwenda kutoa details zake bila kumjulisha na kuona utayari wake. Mmmh mara nying akina mama mmeharibu maisha ya watoto kwa kuleta mambo yenu/maugomvi kwa watoto...
kuachana sio sababu ya kumtesa mtoto ugomvi wetu sisi usingemwingiza mtoto ambaye hana hatia wala hakuomba azaliwe, huwezi ukasema kila kitu maana sindano inavyouma anajua uchungu wake yule aliyechomwa nayounajua watu hawajadadavua vizuri ndugu zangu mimi simlaumu huyo baba hata kidogo kwani mmejua ni nini kiliwafanya waachane? Acheni jamani mambo mengine tuna-commet tu ila undani hatuujui.
kuachana sio sababu ya kumtesa mtoto ugomvi wetu sisi usingemwingiza mtoto ambaye hana hatia wala hakuomba azaliwe, huwezi ukasema kila kitu maana sindano inavyouma anajua uchungu wake yule aliyechomwa nayo
Baba wa mtoto yeyote yule ambaye hata kama ndoa imevunjika atafurahia kuhusishwa na elimu ya mtoto wake hata kama hakupewa taarifa za awali. Wanaume wengine pale ndoa inapovunjika hutaka kuwaadhibu pia watoto waliopatikana ndani ya ndoa, kitu ambacho si sawa hata kidogo.