malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,312
- 512
Wahaya je??
yarabi toba! BABA watano na MAMA watano pia!
Wahaya je??
Najua zipo mkuu, ngoma kama,Maswezi,manyanga,Uyeye,Bagika,Bagalu,bazuba,Radu na nyinginezo nyingi,wewe ulikuwa unazungumzia zipi kiongozi?....
Umesema kweli. Wanawake wa kinyamwezi hawana hiana, ukiomba mzigo leo unapewa leo leo bila longo longo
Hao warangi,kila siku wagen anajidai ndugu,ukiskia OMWARE,OJORE imekula kwako!
Kwanza nadeclare interest kuwa mimi ni Mnyamwezi; Bila kuwa bias,unachokisema ndugu mtoa hoja upo sahihi kabisa aisee,yaani ukitaka utulivu na nafsi njoo Tabora hautajutia maamuzi yako. Wewew chunguza uone ndoa zinazojumuisha mnyamwezi jinsi zinavyodumu,yaani sisi tuko nyuma kwa mengi lakini kwenye mambo ya malovee kwakweli tumejaaliwa.
Kwani bibi yako yumo JF?
Utachunguza vipi mkuu?