WANYAMWEZI wanajua mahaba na ku handle kuliko wote Tanzania....!

Mkuu Don,

Lazima niseme uko juu maana hizi ngoma nyingine au nimezisahau au sijazisikia kabisa.

Hii ngoma ya RADU hebu nikumbushe. Kwa mbaali inakuja kuwa ni ngoma ya Mzee Manywele wa Chabutwa (RIP).

Ila naona nyingine utakuwa umechanganya maana si za Wanyamwezi ila ni Makabila mengine yanayoishi Tabora.

Kwa Wanyamwezi Wakristo:
Words of Life Nyamwezi (Kinyamwezi) People/Language Movie Trailer - YouTube
Online Presentation
Words of Life - Nyamwezi - Audio Bible stories and lessons, evangelism tools, church planting resources
Najua zipo mkuu, ngoma kama,Maswezi,manyanga,Uyeye,Bagika,Bagalu,bazuba,Radu na nyinginezo nyingi,wewe ulikuwa unazungumzia zipi kiongozi?....
 
Kwanza nadeclare interest kuwa mimi ni Mnyamwezi; Bila kuwa bias,unachokisema ndugu mtoa hoja upo sahihi kabisa aisee,yaani ukitaka utulivu na nafsi njoo Tabora hautajutia maamuzi yako. Wewew chunguza uone ndoa zinazojumuisha mnyamwezi jinsi zinavyodumu,yaani sisi tuko nyuma kwa mengi lakini kwenye mambo ya malovee kwakweli tumejaaliwa.
 
Mimi nilikuwa nadhani sisi Wanyamwezi tunamaumbo yanayovutia kimapenzi tu. (wanaume warefu miili mikubwa na wanawake wembamba warefu) kumbe na mengine tupo fit. Ngoja nianze uchunguzi kama ni kweli.
 
Kwanza nadeclare interest kuwa mimi ni Mnyamwezi; Bila kuwa bias,unachokisema ndugu mtoa hoja upo sahihi kabisa aisee,yaani ukitaka utulivu na nafsi njoo Tabora hautajutia maamuzi yako. Wewew chunguza uone ndoa zinazojumuisha mnyamwezi jinsi zinavyodumu,yaani sisi tuko nyuma kwa mengi lakini kwenye mambo ya malovee kwakweli tumejaaliwa.

kuna ndugu yangu mmoja kaoa dada wa kinyamwezi, hebu kwanza nikachunguze kama ni kweli. teh..teh .teh.......ngastuka mbe!
 
Back
Top Bottom